Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,093
- 34,909
<table style="width: 508px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top">Huyu Babu Mwanga nini?</td> </tr> <tr> <td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top"></td> </tr> <tr> <td style="text-align: center; width: 518px;" valign="top"> Mwanaume huyu ambaye hakufahamika jina lake, alifumaniwa uchi wa mnyama nje ya nyumba ya Waziri mmoja wa Serikali ya Tanzania kwa kile kilichodaiwa kuzidiwa nguvu za kichawi. Picha na Mdau wa soka wa jijini Dar es Salaam, Mama Romana</td></tr></tbody></table>
Huyu siyo Babu ni kijana mdogo tu wa umri wa miaka 23 alijulikana kama Mohamed alikuwa fundi nguo maeneo ya mbezi beach nyuma ya Hospital ya Massana kwenye msikiti ndipo alikuwa anafanya kazi...
huyu jamaa kwa sasa ni marehemu baada ya kukutwa maeneo ya mbezi Afrikana akiwa uchi wa mnyama na wakazi wa Afrikana kumpiga kwa kudhania kuwa ni mchawi aliye anguka toka kwenye ungo.
Huyu jamaa alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya akili na alikuwa na vyeti toka mwihimbili vikionyesha kuwa ni mgonjwa wa akili.
too sad jamaniHuyu siyo Babu ni kijana mdogo tu wa umri wa miaka 23 alijulikana kama Mohamed alikuwa fundi nguo maeneo ya mbezi beach nyuma ya Hospital ya Massana kwenye msikiti ndipo alikuwa anafanya kazi...
huyu jamaa kwa sasa ni marehemu baada ya kukutwa maeneo ya mbezi Afrikana akiwa uchi wa mnyama na wakazi wa Afrikana kumpiga kwa kudhania kuwa ni mchawi aliye anguka toka kwenye ungo.
Huyu jamaa alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya akili na alikuwa na vyeti toka mwihimbili vikionyesha kuwa ni mgonjwa wa akili.
too sad jamani
Too saaaaaaaaaaaaaaaaaad!huyu jamaa kwa sasa ni marehemu baada ya kukutwa maeneo ya mbezi Afrikana akiwa uchi wa mnyama na wakazi wa Afrikana kumpiga kwa kudhania kuwa ni mchawi aliye anguka toka kwenye ungo.
Huyu jamaa alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya akili na alikuwa na vyeti toka mwihimbili vikionyesha kuwa ni mgonjwa wa akili.
Hii ndio ile habari iliyo tangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa mwanga alianguka na ungo wakiwa wakielekea kwa mkutano wa wachawi Sherisheri akitokea mwanza?
.................Sijui kama ni mahali pake, lakini hii habari imeniuma hadi kujiuliza nini hasa kazi za mifuko ya JAMII hapa kwetu? sio kutoa huduma kwa watu kama hawa pamoja na wengine kama vile vikongwe? Au ni kujenga maghorofa tuu??
It is sad! very sad!. Alikutwa nyumba ya tatu toka ninapoishi, ni getini kwa Brig. Gen (Rtd) Adam Mwakanjuki. Nilipomuona asubihi wakati nakwenda job, kwa kumtazama tuu, kwa macho ya kawaida, utamjua wazi yuko insane. nikapiga simu home, garder wangu amletee kaptula yangu yoyote. Kaptula ililetwa, kundi la watu wakazui asisetiriwe eti mpaka polisi wafike, nikaenda zangu job.
Jioni niliporudi nikapata taarifa eti amepigwa mpaka ajieleze, kadri alivyokuwa hajibu kitu ndivyo alivyozidi kupigwa!, mpaka polisi walipofika na kumchukua. Alifikishwa hospitali ya Mwanyamala, next day alifariki.
Wanga, uchawi, ulozi, etc ni mbaya, ila pia mtu asiye na akili timamu au aliyechanganyikiwa ukimuona utamjua tuu, haihitaji akili za kidaktari kumjua huyu hayuko sawa, watu wa pale walimpiga kwa kosa gani?.
Kwa vile nchi yet inaendeleza hukumu ya adhabu ya kifo, wananchi nao wanajichukulia sheria mikononi kwa wao kuwa ndio wapelelezi, waendesha mashitaka na mahakimu hapo kwa hapo, tena very barbaric kwa kuisaidia serikali yao kwenye utekelezaji wa adhabu kama hizi.
Laiti tungekuwa hatuna adhabu ya kifo, hakuna mob justice ingekuwa inajichukulia sheria mikononi mwao. Najisikia a bit guilt, badala tuu ya kuitisha kijana aletewe kaptula, ningewaita polisi na mimi kuwepo eneo hilo, naamini, ningeweza kuspare maisha yake.
Nikiwa UD wakati ule niliishi Mabibo Hostel, kuna mwanafunzi wa kike alitibuana na mpenzi wake, akamuitia mwizi, kilichofuatia ni kipigo bila hata kuuliza kulikoni, nilipotaka kutetea japo wamsikilize tuu, ama aliyeibiwa ni nani, hakuna alijitokeza, walitaka kunishukia na mimi kwa madai sijui uchungu wa kuibiwa, niliwaambia najua, but not at a cost of human life, nilishindwa nguvu, jamaa walipiga, wakaua, ukweli ulipokuja kujulikana, it was too late.
Ndio maana bado nasikitishwa na mwizi wa kuku kufungwa tairi, kumwagiwa mafuta ya taa na kuchomwa moto, wakati mwizi wa bilioni 40! za Kagoda anashinda magogoni akinywa chai na mkulu!. Where is justice.
huyo waziri nae ni mwanga wamezidiana nguvu tu..<table style="width: 508px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td style="text-align: Center; width: 518px;" valign="top">huyu babu mwanga nini?</td> </tr> <tr> <td style="text-align: Center; width: 518px;" valign="top"></td> </tr> <tr> <td style="text-align: Center; width: 518px;" valign="top"> mwanaume huyu ambaye hakufahamika jina lake, alifumaniwa uchi wa mnyama nje ya nyumba ya waziri mmoja wa serikali ya tanzania kwa kile kilichodaiwa kuzidiwa nguvu za kichawi. Picha na mdau wa soka wa jijini dar es salaam, mama romana</td></tr></tbody></table>