Huyu baba mkwe simwelewi anataka Nini?

 
Yaani mwaka 2012 ulikuwa na mwanaume anayetoa manii meusi sijui mekundu..... Leo tena unataka ndoa.

Naungana na baba mkwe ndoa mwakani.
 
Baba mkwe wako ni 'mthavi'. Tafuta mpare yoyote akutafsirie kama vipi.
 
Unaonekana hufai ndo maana baba mkwe anavuta siku mwanae ajue hapa hamna mke uzi wako unaonyesha tu" eti huyu mzee "

Baba mkwe ni baharia wacha amuokoe mwanae na matatizo
 
Ulivyo andika hapa, utawaharibia wenzio. Kuna watu humu wanapitia haya na wakwe zao wako humu.
Kimsingi nakushauri uheshimu wazazi. Mwakani sio mbali.. hata kama ni 2025 utafunga tu. Vuta subira.
 
Kama uta left jf kwa kuambiwa ukweli, nenda kwa amani mkuu.

Ninachoipendea jf unaambiwa ukweli japo inaweza kuwa sio kile ulichokuwa unataka ukisikie au ushauriwe.

Binafsi nimeona tatizo lipo kwako.
Usilazimishe kuolewa
relax, timiza wajibu wako, mambo yatanyooka wakati mwafaka ukifika.
Hupaswi kulilia ndoa

Usipomwelewa baba mkwe leo, utakuja mwelewa baadae.

Mungu akubariki na akujalie Subira!
 
Yaani mwaka 2012 ulikuwa na mwanaume anayetoa manii meusi sijui mekundu..... Leo tena unataka ndoa.

Naungana na baba mkwe ndoa mwakani.
Mkuu pata eagle mbili za buku buku naja kulipia chaap[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka sana
 
Sasa mkuu vp Kama baba mkwe hanitaki alafu ananyamaza kimya vp kwa badae sitakua na watoto ambao hawana baba?
 
Mzee ameisha kuona wewe ni chenga, utamsumbua mtoto wake anavuta vuta kijana wake akuchoke mtemane.
 
Mm mke wangu alisubili miaka 7 ndo tukafunga ndoa na hakuwai kulalamika, wewe mwaka mmoja unamfungulia baba Mkwe Uzi...

Wanawake wa siku hizi ni shida sna.
Yaani na lawama juu kwamba hamuelewi baba mkwe wake.😣😣
 
WAZINZI AWASHAURIKI
JIBU UMEMALIZA.MWENYEWW UKI BA MWANAUME MWAKA BILA NDOA NENDA KWA.MWAMPOSA UKATUBU KWA.MUNGU WAKOOOOOO USIPONIELEWA UTAELEWA BABA MKWE ANATAKA NN......
FANYA MAPPING YA FAMILIA YAOO INAONEKANA MZEE ANATAKA MZIGOOO SIKUTISHIIII KAOMBEWE UYAJENGE HATA HIYO NDOA IKIFANYIKA BILA TOBA UTALIA
 
Mzee ameisha kuona wewe ni chenga, utamsumbua mtoto wake anavuta vuta kijana wake akuchoke mtemane.
HAHAAAAAA I LIKE JF EXPERT
KAHISI ANA DANGA KWA MWANAE NN NA MAPATO AYAONI HAHAHAAAA
 
Kwa hiyo wewe unataka ndoa tuu
Kwani hamuwezi ishi baadae ndo mje kufunga hiyo ndoa??
Au wewe ni miongoni mwa wale wanaokimbilia ndoa ili muonekane hamjui kama kuna maisha baada ya ndoa
Mwanamke anataka ndoa ila hajajiandaa kisaikolojia kulala bila chupi ama kuvua chupi muda wowote baharia anapotaka kitobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…