Huyu baba huyu !

Huyu baba huyu !

Hahahahhahh...muache miaka laki 8
 
Huyu jamaa mara ya kwanza kumuona ilikuwa miaka ya 2000 katikati kulikuwa na shughuli fulani RUCO ana mikwara ya kitoto na kujisikia kama amesahau nitakuja mkumbusha namnukuu "Nina uwezo wa kufukuza yeyote hapa,ingawa hapa si mahakamani lakini uwezo huo ninao....."mkuu leo uko wapi na bado....
Hii ndo TZ na sisi ndo wenye nchi....UTAKOMA.
 
Chenge/Tibaijuka wamelamba 1.6bilion,unadhani Muhongo na huyu jamaa wamelamba ngapi?,....zilijaa fuso.
 
Huyu jamaa mara ya kwanza kumuona ilikuwa miaka ya 2000 katikati kulikuwa na shughuli fulani RUCO ana mikwara ya kitoto na kujisikia kama amesahau nitakuja mkumbusha namnukuu "Nina uwezo wa kufukuza yeyote hapa,ingawa hapa si mahakamani lakini uwezo huo ninao....."mkuu leo uko wapi na bado....
Hii ndo TZ na sisi ndo wenye nchi....UTAKOMA.

alikuwa vice chancellor?
 
hahahaaaaaaa! madaraka hayaaaaaaaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom