Huyu baamedi ananipenda kweli?

Huyu baamedi ananipenda kweli?

Anaweza kuwa ana kupenda kweli koz huo ubar maid ni kazi kama kazi zingine japo wengi huwa tuna zichukia kuwa ni kazi za watu flani wasio na nidhamu ila huyo mdada anaweza kuwa ni mtu ana jiheshimu vizuri tu
Kweli kbs mkuu,mi enzi ya ukapera wangu niliwahi kuchukua changu pale Jolly Club,siku ya pili yake nikaenda kuchukua hela benki wakati huo hamna ATM,kufika kwa teller ni yule dada changu nikachoka!nikamsalimia akanikumbuka.so ubaamedi ni kazi km kazi nyingine,nao pia wanapendwa na kupenda.
 
Ungefanya na ww utafiti wako kisha ndo ungeandika hivyo.umalaya ni hulka ya mtu....wapo mabaamedi wengi wanaeshimu kazi yao na wanaishi maisha mazuri na so wahuni,km mleta uzi hapo kasema wanaenda kwake kulala sasa huyo halali ghetto,kuna wadada huku maofisini wana degree zao lkn washapitiwa wanaume zaidi ya kumi ktk ofc moja,bado huko mitaani!
Anza wewe kufanya utafiti,then ni
acha hizo mkuu wengi tuu wanajiheshim Ile ni kaz kama kazi nyingine pia ukimchukua barmed huwez piga kavu pia huwez kukubal dry hata siku moja mkuu wenye ngoma ni wanafunzi maana utasema huyu mdogo hajaukwaa unapiga dry unaukwaa
wewe sio wote wenye akili km zako za kukumbuka kinga
 
Mwekezaji kutoka Djibouti naona unakula tax free period kabla hujaanza kulipa kodi rasmi
 
Anakupenda mno mkuu, anakuhusudu haswaa! Nawe mpende zaidi ya hapo. Mpe support yako sana katika kazi yake ngumu na yenye changamoto nyingi.
Hebu pia jaribu kuongelea namna mnavyoweza kubadili kazi, mpate hata mtaji na kufanya ujasiriamali. Hii yote itakuwezesha kulala kwa wakati na kuamka ukiwa hujachoka sana. Mjali sana Mtoto wake na mtunze vema. Kumbuka mkifanikiwa kuzaa atamtunza pia mwanao. Kuna mdau hapo kagusia suala la kupima afya zenu. Hili la muhimu sana. Ili sasa kama mmepata maambukizi (sio lazima awe yeye kakuambukiza) mjue namna ya kuishi kwa matumaini.
Hongera sana mkuu kwa namna ulivyojitoa, wapo jamaa wengi tu ambao walienda bar kama kuopoa watu wa kupooza tu lakini hadi sasa wanaishi vizuri kabisa kwa utulivu.
Bila shaka ww utakuwa ni Mshauri wa masuala ya mahusiano na Mtaalam wa saikolojia pia
 
Duh huna kinyaa wewe barmed,aisee i wsh ungesoma makala waliyoitoa kweny gazet la mwananchi jins mabarmed wanavyoishi naona ungejiogopa mwenyew kabla ht ujapima afya yako
Acha dharau wanawake wenzio hao.
 
Dah...bamedi.. halafu anakuhonga....aibu kubwa..
 
JF kwa kutisha watu hahaaaaa km alikua hafikirii kupima ngoma,am sure baada ya kusoma hii topic yake,anaona kaburi lile hahaaaa
 
MKIPEWA KUM*A BURE LAWAMA KIBAO NA UKIPEWA KUM*A KWA HELA NAPO LAWAMA
 
JF kwa kutisha watu hahaaaaa km alikua hafikirii kupima ngoma,am sure baada ya kusoma hii topic yake,anaona kaburi lile hahaaaa
Hao wanawatisha watu wenyewe ukiwauliza mara ya mwisho kupima utastaajabu...
 
Habarini za kazi wakuu,

Ni hivi kuna baamedi mmoja hivi nilimtokea siku za hivi karibuni na mambo ikatiki nikamgegeda siku ileile na mara nyingi zaidi huwa anapenda niende kwake kwani anadai hana mpenzi mwingine kabisa zaidi yangu na ikumbukwe tayari ana mtoto mmoja.

Sasa tatizo nikimnunulia hata vinywaji hataki nikigegeda nikimpa hata za sabuni hataki yaani kazi yake amenifanya mimi kama sexy machine tu. Anataka nimpande kila siku yeye ndo anihonge vinywaji na hela huku akidai ananipenda sana. Imeshakuwa shida sasa kulala saa 9 kuamka saa moja kwenda job na uchovu mwingi halafu yeye anadai eti ananipenda.

Ebu niambieni wakuu manake nisipoenda kwake kesho ni ugomvi hadi baa nzima washajua nagongaga ananipenda au ana kijidudu kinamuwashaga anataka niaribia tu kazi.
Mada za fesibuku zinafurika kwa kasi JF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom