Mkome kuleta umbeya humu ndani. Hayatuhusu. Lete mambo yenye tija na maendeleo. Acheni kufuatilita maisha ya watu. Narudia tena. Hayatuhusu x 100.
Mbona misemo haiendani, kungru na mwewe wote ndege! Mara mjusi na kenge tena!!!!!!!!!! Mbona unakoroga sasa!
Wewe uliejirani nae, unaewafahamu wote, tena ni marafiki zao, tena hupiga stori kwa nyakati tofauti,
UMEWASHAURI umeshindwa, hivyo unahitaji msaada wetu au umetuarifu tu tujue kuwa soon kuna mtu ataisaliti ndoa yake?
Hujaeleza nini unataka zaidi toka kwa wadau wa jf.
mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?
kaamua kuchukua mti ukiwa umeshatoa matunda kabisa,anunue mche hadi uwe mti uzae matunda ni lini?hata hivyo wanaume mna roho ngumu kama jiwe,
kumrithi mama na watoto wote hao yataka moyo.
sio wote sisi wengine mbona tunatoa.hata leo nimeacha 1200 yumbani na nikirudi narudi na nanasi zima!
kuna siku naacha mpaka 1500 yaani 1$eti?????.......1200....... Ni kila siku unaacha hivyo?
Hata ukitoa hela ya mboga kumegwa kuko palepale.mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?