Weee kweli jambaxi
Hujambo Aishah
Alifikaje huko kwenye magwanda?
Chakula ya wakubwa hiyo..
Usijifanye kumjuajua mtoto wa kiume utaishia kutajataja majina tu kula twala sie.Daa uyu dada nina.historia naye ndefu kidogo,ongera kwa uzur martha
Magogoni police post.Yuko wapi tukamwambie mkuu kituo Gani
we we me ndo nakosa kubwa mwambieni aje kunikamata mimi kwanza halafu ndo aje kwako!