Huyu askari bado yupo kazini kweli?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kwa jinsi huyu askari shupavu alivyo simamia uadilifu mbele ya kikao cha ccm siamini kama yupo kazini.

Hawa ndio watu wanahitajika kufanya kazi ndani ya jeshi letu maana nidhamu na ujasili wa kulinda maadili.

Tazameni alivyo simamia heshima ya jeshi lake la polis dhidi ya wahafidhina wa ccm.

Nampongeza sana huyu mpiganaji kwa kukataa kuburuzwa na wana siasa uchwara.
 
Kwa jinsi huyu askari shupavu alivyo simamia uadilifu mbele ya kikao cha ccm siamini kama yupo kazini.

Hawa ndio watu wanahitajika kufanya kazi ndani ya jeshi letu maana nidhamu na ujasili wa kulinda maadili.

Tazameni alivyo simamia heshima ya jeshi lake la polis dhidi ya wahafidhina wa ccm.

Nampongeza sana huyu mpiganaji kwa kukataa kuburuzwa na wana siasa uchwara.View attachment 2636588

Ila Tanzania ni failed state Yani MNEC anakuwa na kiburi mbele ya polisi. Eti anauliza anaitwa Nani na anacheo gani.
 
Wakati kila siku wanaanzisha tozo kwa wananchi na kuhangaika na wafanyabiashara wa kariakoo kuhusu Kodi.
Hawajitambui ila naamini tatizo lao ni ukosefu wa elimu maana wengi ni zero
 
Back
Top Bottom