Huyu Anatafuta,

Huyu Anatafuta,

574446_536992766321148_1960662484_n.jpg
 
Zote hizo ni nyama utamu ni ule ule, mengineyo ni mbwembwe tu.
 
hakuna utamu ndio uleule
Kila moja ina ladha yake , nyengine ina chumvi zaidi nyengine ukieka chunguni tu inatowa maji zaidi nyengine mpaka utie viungo ndio ilainike iko ngumu muda wote
Zote hizo ni nyama utamu ni ule ule, mengineyo ni mbwembwe tu.
 
mbuzi mzee umeharibu shape ya suruali yangu kabisa..., na muda wa lunch huu siwezi kunyanyuka kwenye kiti hapa... dah.., muacheni MUNGU aitwe MUNGU.
 
hakuna utamu ndio uleule
Kila moja ina ladha yake , nyengine ina chumvi zaidi nyengine ukieka chunguni tu inatowa maji zaidi nyengine mpaka utie viungo ndio ilainike iko ngumu muda wote
Mkuu ndiyo maana nikasema mengine mbwembwe kikubwa ni kubwaga haja ndogo na kusepa.
 
Back
Top Bottom