Huyu anapatikana bwawa la Mtera

Huyu anapatikana bwawa la Mtera

damian marijani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2010
Posts
695
Reaction score
466
frog.jpgUshawahi kumwona huyu? Nenda Mtera utamwona.
 
Mmmmmh. Mtera hii hii? Huu ndo ushirikina wenyewe
 
Hapo ni baada ya kujivua gamba ndio maana rangi imebakia ile ile
 
na huyu ndio mnyama gani ndugu zangu na watalaam wa wanyama huyu anaishi miaka mingapi?
 
Anaitwa "Kudadekiiii"
Niseme nisiseme....Maji marefu wewe si ndiyo
uliwachanja chale kwenye....
 
Back
Top Bottom