Huyu ananipenda kweli au ndo walewale?

Yaani ni kwamba haupo moyoni wala akilini mwake...sasa wewe cha kufanya delete kila kitu kumhusu then msahau milele, nina kanuni ndogo huwa naitumia waeza itumia pia..'mtu akikukataa na wewe mkatae' .
 
Asante rafiki nadhani kanuni yako nami nimeipenda pia ngoja nianze kuiapply.
 
una bahati mbaya au yeye ndo anabahati mbaya....huyo ni pambaf na nusu....anapata mtu mwenye malengo na mwelekeo anajishongondoa we ngoja atapata m-chuo mwenzie wee ataisoma...na ataempata au alie nae atachukuliwa na mwingine af atajuta...hayo ya kawaida zaid shukuru umegundua means umesolve....

Asante ndugu yangu kwa kunitia moyo .
 
stuka bibie,hapo hakuna kitu.
mwanaume gani wa kujifanya yupo busy hadi anakusahau......kiufupi hilo ni zigo tena la miiba na km ni chaka basi ni pori kbs,stuka kabla hujapotelea humo porini.
 
Attachments

  • TheOnesThatWalkAwayAreOnlyMakingRoomForTheOnesThatWont_zpsee32d64c.jpg
    TheOnesThatWalkAwayAreOnlyMakingRoomForTheOnesThatWont_zpsee32d64c.jpg
    24.7 KB · Views: 45
asante mpenzi maaana hii ni hatari ,mbona nimestuka hapa nimichakato tu ya kudelet kila kilichochake,
 
Kwa sababu unatumia moyo kufikiri badala ya kichwa sitakushauri chochote ila jamaa hana mda na wewe pole.
 
Kwenye miti hakuna wajenzi, yaani kuchunwa tunakochunwa wengine jamani. Njoo kwangu tu upumzike
 
Labda una sura mbaya so anakuona wewe ni kipoozeo tu cha kusogeza life kuliko akahangaike na machangu vumilia tu mbeleni utapata wa kumshika ila wanawake huwa sijui nini mnataka...

Mapenzi ya kitoto watu hatuwezi.. yaanI ukiamka upigiwe simu au sms? Hayo ni kwenye matongozano tu.. kuku wako umshikie manati? Tutatafutana Mida ya ku do
 
Heshima zenu wakuu,
Mimi nilipata mpenzi miezi 4iliyopita tukaonana tukaongea na kukubaliana kuanza ukurasa wa mapenzi.
Ajabu tokea tuwe inlove yeye always ni mtu wa kunibeep tu au kupiga akaomba kupigiwa tu nimemvumilia nikijua labda hakuwa na hella mwezi huo badae mkaona always ndo stairi hiyohiyo.
Mbaya zaidi hajibu massage hata siku moja na ukimpigia kumuuliza anakwambia ohh niko busy na chuo ohh mala nimebanwa na kazi.
Baada ya kuona nimechoshwa na hiyo tabia nikamweleza nikitegemea atabadilika mhh tena ndo kazidi.Mimi nikaamua kukaa kimya nae kakaa kimya almost wiki 2 sasa.nisaidieni huyu mtu ananipenda au nimeingia choo cha kiume?
Hapa namba inakuhusu, jamaa alipiga kampeni ukampa kura yako.Kumbuka baada ya uchaguzi hakunaga tena kampeni
 
Labda una sura mbaya so anakuona wewe ni kipoozeo tu cha kusogeza life kuliko akahangaike na machangu vumilia tu mbeleni utapata wa kumshika ila wanawake huwa sijui nini mnataka...

Mapenzi ya kitoto watu hatuwezi.. yaanI ukiamka upigiwe simu au sms? Hayo ni kwenye matongozano tu.. kuku wako umshikie manati? Tutatafutana Mida ya ku do
Uwiiii ndo maana natafuta mtu mzima sasa 45+
 
Back
Top Bottom