Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,627
Kaaaaaah makubwa haya
kweli dunia imebadilika, mtoto ambae ndo kwanza amemaliza form four analalamika tena kwa majonzi makubwa kunyimwa tendo la ndoa!. Sijui hii kitu ina nini had watoto wanaililia hivi
Habari wadau!
Mimi nina umri wa miaka 18 niko Ruvuma.Nina girl friend wangu ambaye nimeanza nae mahusiano miezi miwili iliyopita,alihamia mtaani kwetu akitokea mkoa mwingine baada ya kufiwa na baba yake,ko amechukuliwa na dada yake.Ni mzuri sana kwa sura na kila kitu maana kila mtu anataka kuwa nae.Nina malengo nae sana mana hadi nyumbani mama anamfahamu.Kiumri nimemzidi kidogo,ninampenda sana na yeye ananipenda kuliko mimi.Sasa tatizo linakuja kwenye kufanya mapenzi,nimejaribu kumueleza mara kadhaa amekuwa mgumu kupita maelezo,ila siku moja nilifanikisha kuingia nae chumbani tukakaa kwa mda wa masaa mawili ila sikufanikisha zaidi ya kumchezea tu.Alichukia sana nusu tuachane lakini kwa kuwa ananipenda tukawa pamoja tena.Pia amesema kuwa yeye ni bikra,nilijaribu kumuelekeza wiki tatu zilizopita akanielewa ila tatizo tuligombana kwa hyo ikashndikana tena,alituma mtu kuniomba msamaha nikamuelewa.Nikamkumbusha tena kuhusu ku do akawa mgumu tena na ukizingatia kwao anabanwa kupita kiasi na dada ake anayekaa nae na mimi ni mwanafunzi kidato cha tano nimepangiwa mkoa wa pwani,ila bado sijaripoti shuleni.
Je huyu ana mapenzi ya dhati na mimi kweli ama la!
Wakuu......Watoto wametukosea heshima.. hizi fake IDs zinawapa kiburi,
Yaan unaomba ushauri kwa swala ambalo limekuzidii umri? ukimpa ujauzito unaweza ku handle? Au ndio nyinyi mnakimbia mimba?
UMENIUDHI SANA. UNDER 18 NA 18 MNAOMBA USHAURI WA KUZINI KWA BABA ZENU, KAKA ZENU NA MAMA ZENU, KWEEELI? hebu mfuate mzazi wako anaye kulipia ada na umwambie haya unayotuambia hapa.
Nyambaaaafu...ninyi ndio maruhani ninaowatafuta sana kwa kuwa mnatuharibia mabinti zetu.
Wanaizaya wenzako kama wewe nikiwakamata huwa nakamua hizo korodani na plaizi halafu ndio maongezi yanafuata.
hebu nenda shule huko tunawasomesha kwa shida bado hata kupiga kura hujawahi unataka tuje kukufundisha mambo ya wakubwa?
humu kuna jukwaa la elimu hebu kaweke kambi kule hapa hapakufai sana.
Nyambaaaafu...ninyi ndio maruhani ninaowatafuta sana kwa kuwa mnatuharibia mabinti zetu.
Wanaizaya wenzako kama wewe nikiwakamata huwa nakamua hizo korodani na plaizi halafu ndio maongezi yanafuata.