Huyu ananipenda kweli au najidanganya!

Huyu ananipenda kweli au najidanganya!

Loh, hawa watoto waliozaliwa kipindi cha Mkapa ni laana tupu. Miaka 18 ushaanza kuangaika na mapenzi kiasi hicho.
 
Wakuu......Watoto wametukosea heshima.. hizi fake IDs zinawapa kiburi,

Yaan unaomba ushauri kwa swala ambalo limekuzidii umri? ukimpa ujauzito unaweza ku handle? Au ndio nyinyi mnakimbia mimba?

UMENIUDHI SANA. UNDER 18 NA 18 MNAOMBA USHAURI WA KUZINI KWA BABA ZENU, KAKA ZENU NA MAMA ZENU, KWEEELI? hebu mfuate mzazi wako anaye kulipia ada na umwambie haya unayotuambia hapa.

Yaaan ametukosea heshima sana

Aah nataman angekuwa karbu tumfundishe nidhamu. Haaaa
 
Madhara ya movies, he wants to copy and paste western cultures, usikute hata haelewi what are the consequences of his actions sema ili tu apate umaarufu kijiweni bas anaforce simply bcz kila mtu mtaani anamtaman huyo grl

Kweli nimeamini duniani makubwa jinga yapo,simuongelei mwingine ni wewe unaesema ameathiriwa na movies na wewe unajiona hazijakuathiri eti?si uongee kiswahili au hujui?huna akili kijana hata kidogo...kabla hujamchunguza mwenzako jiangalie na wewe.
 
Unajua watu wanapotaniaga kwamba shule hazijafunguliwa nilikuwa najua utani, kumbe kweli kuna watoto humu.
 
Huyu dogo manina zake hana adabu hata kidogo.Lait Angekuwa karibu yangu hakika ningefungulia swaumu yangu kwaajiliyake
Yaaan ametukosea heshima sana

Aah nataman angekuwa karbu tumfundishe nidhamu. Haaaa
 
Back
Top Bottom