Huyu ananipenda kweli au najidanganya!

Huyu ananipenda kweli au najidanganya!

Madhara ya movies, he wants to copy and paste western cultures, usikute hata haelewi what are the consequences of his actions sema ili tu apate umaarufu kijiweni bas anaforce simply bcz kila mtu mtaani anamtaman huyo grl

ndo madhara ya kuacha watoto wawe socialized na tv, computers nk. Hawafundishwi maadil wanaachwa wajifunze wenyewe kupitia computers na tvs
 
Jamani kufanya mapenzi kunaongeza upendo
 
Nikamkumbusha tena kuhusu ku do akawa mgumu tena na ukizingatia kwao anabanwa kupita kiasi na dada ake anayekaa nae na mimi ni mwanafunzi kidato cha tano nimepangiwa mkoa wa pwani, ila bado sijaripoti shuleni.

Je huyu ana mapenzi ya dhati na mimi kweli ama la!

kwa umri huu umeanza kuendekeza ngono eti unaenda kidato cha tano unakijua kitabu cha kidato cha tano wewe! zero inakusubiri na baada ya hapo utajua kama anakupenda ama la na kabla ya kwenda kidato cha tano ukapime na UKIMWI kabisa kisha lete mrejesho.
 
me najielewa af na mapenzi ya dhati kwake
 
Habari wadau!

Mimi nina umri wa miaka 18 niko Ruvuma. Nina girl friend wangu ambaye nimeanza nae mahusiano miezi miwili iliyopita, alihamia mtaani kwetu akitokea mkoa mwingine baada ya kufiwa na baba yake, akawa amechukuliwa na dada yake.

Ni mzuri sana kwa sura na kila kitu maana kila mtu anataka kuwa nae.Nina malengo nae sana mana hadi nyumbani mama anamfahamu. Kiumri nimemzidi kidogo.

Ninampenda sana na yeye ananipenda kuliko mimi. Sasa tatizo linakuja kwenye kufanya mapenzi, nimejaribu kumueleza mara kadhaa amekuwa mgumu kupita maelezo.

Ila siku moja nilifanikisha kuingia nae chumbani tukakaa kwa mda wa masaa mawili ila sikufanikisha zaidi ya kumchezea tu. Alichukia sana nusu tuachane lakini kwa kuwa ananipenda tukawa pamoja tena.

Pia amesema kuwa yeye ni bikra, nilijaribu kumuelekeza wiki tatu zilizopita akanielewa ila tatizo tuligombana kwa hyo ikashndikana tena, alituma mtu kuniomba msamaha nikamuelewa.

Nikamkumbusha tena kuhusu ku do akawa mgumu tena na ukizingatia kwao anabanwa kupita kiasi na dada ake anayekaa nae na mimi ni mwanafunzi kidato cha tano nimepangiwa mkoa wa pwani, ila bado sijaripoti shuleni.

Je huyu ana mapenzi ya dhati na mimi kweli ama la!

You are very stupid instead of focusing on your education all your attentions are directed to sexy? If you entertain sex and love affairs in your head my friend you may end up failing your exams
 
yamkini kweli huyo dada ni bikra, so km kwel una mpango wa kua nae future be patient.
 
Nimesikitika sana na hii maneno ya mtoto mdogo kutuomba ushauri wazee wazima wa jinsi ya kumfanya mtoto mwenzake akubali wafanye ufirauni. Nena shule dogo na usome kwa bidii bado una safari ndefu na wazuri ni wengi na wanaongezeka kila kukicha utawakuta.
 
hii jm forum sikuhizi khaaa :wacko::wacko::wacko::wacko::wacko:
 
Huyo hakupendi kwa dhati, anataka kukuchezea tu.
 
hahaha dogo six utatokaa na ziro nakwambia....bora mzazi wako hiyo hela ya ada anunue mchele mle.yani una kumi na nane unawaza ngono utasoma kweli.embu rudi shule baada utafute vitabu usome unawaza mapenzi nyambafuuu
 
Unatafuta nini bwana mdogo? Soma shule kwanza aisee mapenzi utayakuta tu,big up dada bikra bana hivyohivyo.
 
Back
Top Bottom