Huyo ni pacha wa Yohana mbatizaji wa tanzania
Wanaosikiliza magazeti na media za udaku utawajuwa tuNduli Idd Amin Dada .. Dikteta wa Uganda
Aisee amefanana sana na mzee wa kolomije
Ndugu haoAisee amefanana sana na mzee wa kolomije
Nduli ni jina lake? Wa wenzenu mnawaita majina ya ajabuajabu , Wa kwenu mnaye "Le Dictator Semi" akitajwa kwa cheo chake halisi mapovu yanwatoka.Nduli Idd Amin Dada .. Dikteta wa Uganda
Muislam mzuri aliyefia mji mtakatifu wa kiislam
UmetishaHuyo ni pacha wa Yohana mbatizaji wa tanzania
Huyo ni mwigizaji aliyeigiza filamu kama Idd Amin lakini siyo amin hasaNduli Idd Amin Dada .. Dikteta wa Uganda
Hiki ndo wengi hawakijuiMwigiza filam mmoja wa uingereza hajawahi kuwa kiongozi..!
Ofkozi!Hiki ndo wengi hawakijui