Huyu anaitwa nani na alikuwa kiongozi wa nchi gani?

Huyu siyo Idd Amin kama wengi walivyofikiri.... Bali ni kama alivyotajwa hapo juu ni Joseph Ogola Olita aliigiza filamu ya Idd Amin ya Rise and Fall of Idd Amin iliyokuwa maarufu sana ni Mkenya wa Wilaya ya Siaya na alifariki tarehe 1 Juni 2014 siku ya Jumapili na ugonjwa wa shinikizo la damu BP akiwa na miaka 70.
Kwahiyo jibu langu hilo liko sawa?
 
Kabisa Jibu lako liko sawa... Ni wewe tu uliyepatia baada ya kujibu mara ya pili.. Hongera sana.
Poa but umeniudhi kule kwenye uzi wangu, kuongea ya moyoni mwangu wewe ukaona ni porojo au za kutunga.
Mimi sio mtunzi bali ni mkasa ulionikuta.
 
Poa but umeniudhi kule kwenye uzi wangu, kuongea ya moyoni mwangu wewe ukaona ni porojo au za kutunga.
Mimi sio mtunzi bali ni mkasa ulionikuta.
Am sorry.... Lakini inaweza kuwa ni true story lakini hujaipanga vizuri hasa series ya matukio. But Am sorry for hurting you
 
Am sorry.... Lakini inaweza kuwa ni true story lakini hujaipanga vizuri hasa series ya matukio. But Am sorry for hurting you
Without mention, bahati mbaya siko vizuri kwenye uandishi. Tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom