Huyu anafaa kuwa Mke au atabadilika?

Delta 1, this is Alpha 1 reporting.
Female terrorist in sight. Man down I repeat man down, Olympus has fallen.
Request for immediate back up.
Over and out
 
Maisha yana changamoto nyingi, hasa rasilimali fedha; huwa hazitoshi, kwa sababu mahitaji uongezeka mara kwa mara. kwa ushauri,kama ana lengo la kuishi naye afanye hivyo ili uchumi wao uweze kutulia.
 
Maisha yana changamoto nyingi, hasa rasilimali fedha; huwa hazitoshi, kwa sababu mahitaji uongezeka mara kwa mara. kwa ushauri,kama ana lengo la kuishi naye afanye hivyo ili uchumi wao uweze kutulia.
Afanyeje mkuu, hujaelezea kipi afanye amhudumie au amlete karibu
 
Habari za Muda huu I hope mpo njema!

Ni hivi,
Kuna jamaa yangu anasaka mke wa kufanya nae maisha Now Ana Miaka 29 sasa katika harakati za kumsaka mwandani wake! Akakutana na binti anaefanana being Wife material wote ni wachagga!

Wamefahamiana kama wiki mbili tu jamaa akamwita manzi mahali ya kinywaji akamweleza Nia Yake yakutaka kuwa kwenye mahusiano yenye malengo ya kuoana dem ana kama miaka26,.
Binti akamwelewa, wakaachana jamaaa akampa hela ya nauli kama 2k, basi wakawa wanacominicate kama kawaida! Binti anasema kodi imeisha mara hazijapita hata siku tatu ges nayo imemwishia binti! Awali ya hapo binti alisema anakula kwa kaka yake lakini kulala amepanga!

Sehem jamaa anayo fanya kazi manzi anapitaga jamaa mwanzoni alimpa 5k kama nauli ya anakotokea kwenda kazini na kurudi ni kama 500 hivi!
Juzi binti amefiwa na anko wake Jamaa akam give 10k kama nauli, mdada amefika kwa Matanga akamwomba jamaa 1k ya vocha jamaa akamwambia hana na mpesa yake ni mbovu manzi anangangania nenda kwa wakala! Jama hakumjibu, manzi baada ya muda akaja mwambia alipata Vocha jamaa akamjibu vizuri!
Ni kama dem amemaid!

Ndugu wanajf huyu manzi anamfaa huyu jamaa ajenge nae maisha au amteme tu?
Mapenzi Tanzania kila kukicha yanazidi kuwa biashara jamaa ameapa kamwe hata OA mwanamke kwa kumhonga hela je yuko sahihi kama ni wanawake wa kugonga atawahonga lakini si Mke na mama wa watoto wake!
Kama wote ni wachaga waoane tu.
Hatutaki petrol na gunia la mkaa.
 
Ukiacha mama mzazi pia mwanamke pekee ambaye mwanaume anawajibika kumuhudumia ni MKE peke yake.......
Process za kumpata mke SI lazima UCHUMBA Sasa kwenye UCHUMBA hapo ndo kipengele..Raha ya mchumba aliwe kidogo hela ili mwali apendeze angalau kanga na chupi apate...Sasa tatizo linaibuka pale mwali anapopiga virungu vizito...ukisema umwache uangalie pengine ndo hivohivo
 
Back
Top Bottom