Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,380
- 2,576
- Thread starter
- #41
Asante kwa Maoni yako nasomaga sana comment zako sana zenye nahau nzuri kama ule msemo unaopenda kutumia waSi sahihi......
"Akili ya mtu isipomfaa basi ujinga wake utamfaa"
Mkuu kwenye mchakato wa uchumba kuna vigharama ambayo kulingana na changamoto za huku mjini lazima utajikuta unajitoa ili yule mwali aone kwamba unajali even atakapokuwa ndani i mean he can she sarved nalo hilo sio sahihi?
Huku mjini uchumba ni very difficult without kuhusisha Money