Hao jamaa wapo vzr wee utasikia tuu ila siku hizi wapo kimyaSorry ni Shilawadu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapendi kufuatiliwa kwenye ndoa yake jaman
hivi watu wa Arusha kwasababu ya ile ongea yao/lafudhi, hadi midomo imekaa kilafudhi kabisa namna hiyo?