Huyu alikuwa ni hazina ya CHADEMA

Huyu alikuwa ni hazina ya CHADEMA

Hivi nikuulize...mwenye jukumu la kulinda usalama wa raia ni nani?
Kama polisi yenye jukumu hilo haikufanya hivyo..unataka vyama vya siasa vifanye? Vyama vya siasa vina train majeshi ya ulinzi?
Be serious kiasi kidogo basi...
Tunapotuhumu vyombo vya ulinzi ndio watekaji na wauaji huwa tunafahamu hilo, kuwa wao ndio wenye jukumu la kulinda raia? Kama Mauaji na utekaji unafanywa na vyombo hivyo, tuliamini wauaji tunaoaminishwa wanaweza kumlinda Lissu?
 
Msemakweli kweli unasema kweli tupu
Ubarikiwe sana
 
Nikiri kuwa huyu Mtanzania alikuwa ni hazina ndani ya CHADEMA lakini kinachoshangaza ni kuona Viongozi wakuu wa CHADEMA wakishindwa kutimiza malengo yake.

Wakati mwingine ni vizuri kutoa pongezi pale unapoona adui yako anafanya vizuri. Nawapa pongezi CHADEMA kwa kuwapa CCM kijana ambaye ni hazina ya kisiasa.

Huyu kijana anafaa sana kuwa Katibu Mwenezi wa CCM kutokana na uwezo wake katika majukwaa ya kisiasa.

Ni kweli CHADEMA wana baadhi ya vijana ambao ni wazuri sana kisiasa lakini kwa sasa wanajiunga CCM kutokana na yanayotokea ndani ya chama.

Angalia hii video inayoonyesha uwezo wa huyu kijana katika jukwaa la kisiasa.

[MEDIA]

Duh MsemajiUkweli get serious huyu ndio umesema ana uwezo katika jukwaa la kisiasa mbona sijaona hoja yeyote???

Hivi kwanini vijana hawajifunzi hata kwa lowassa alihama CCM ila sikuona akiikandia ila hawa wengine leo wanahama na lukuki ya matusi je kesho huyo mbowe akihamia CCM itakuwaje??? Kwanini hawajifunzi akiba ya maneno!!

Nilipomdharau anasema CHADEMA ni saccos eti kwa kigezo cha watoto wa ndesamburo walipewa viti maalum ssa najiuliza kma hicho kilimfanya ahame CHADEMA mbona CCM imejaa watoto wa wakubwa kwenye viti maalum na ubunge wa afrika mashariki!!! Chadema hawazidi 3 ila CCM viti maalum zaidi ya 10 wana undugu na wakubwa wa CCM kuanzia halima bulembo hadi salma kikwete mpaka mariam ditopile cjui kolimba!! Bado majimboni kina goodluck milinga n.k Kma huu upuuzi ndio unaita hoja basi naweza kusema Tanzania itabakia LDC kwa miaka 50 mingine.
 
Mkuu;

Hujui kama Mbowe ni mfanyabiashara?

Fikiria hata kutibiwa imebidi Mbowe achangishe badala ya kuchukua kwenye pesa ya ruzuku!
Hivi hukumsikia Dk mashinji aliposema hata michango haikufikia lengo ilibidi watafute source zingine pia kutokea ndani ya chama mpaka mifuko ya wabunge !!! Pia matibabu ya lissu mpaka ssa yameshazidi hata ruzuku ambayo chadema wanaingiza kwa mwezi hivyo kusema ruzuku ndio itibu mgonjwa wakati ruzuku inatumika majimbo yote ya TZ sio wazo zuri kabisa ni kma kuweka priority moja kwa expense ya chama kizima kesho si mtasema upendeleo ikitokea diwani kaumwa alafu hatibiwi kwa pesa ya ruzuku

Nilitegemea utapiga kelele bunge litimize wajibu wake kumbe wwe unaona sawa tu asitibiwe na bunge ila kwa pesa za ruzuku ya chama kana kwamba unanuhakika chama hakijawahi toa pesa

Kazi tunayo
 
Hivi hukumsikia Dk mashinji aliposema hata michango haikufikia lengo ilibidi watafute source zingine pia kutokea ndani ya chama mpaka mifuko ya wabunge !!! Pia matibabu ya lissu mpaka ssa yameshazidi hata ruzuku ambayo chadema wanaingiza kwa mwezi hivyo kusema ruzuku ndio itibu mgonjwa wakati ruzuku inatumika majimbo yote ya TZ sio wazo zuri kabisa ni kma kuweka priority moja kwa expense ya chama kizima kesho si mtasema upendeleo ikitokea diwani kaumwa alafu hatibiwi kwa pesa ya ruzuku

Nilitegemea utapiga kelele bunge litimize wajibu wake kumbe wwe unaona sawa tu asitibiwe na bunge ila kwa pesa za ruzuku ya chama kana kwamba unanuhakika chama hakijawahi toa pesa

Kazi tunayo
Mkuu hiyo ruzuku ya cdm inawauma Sana maccm, lakini si wanauwezo wa kuizuia au mkuu wa magogoni hajatoa maelekezo
 
Mkuu hiyo ruzuku ya cdm inawauma Sana maccm, lakini si wanauwezo wa kuizuia au mkuu wa magogoni hajatoa maelekezo
Alafu alivyokuwa na upeo mdogo eti anasema ruzuku CHADEMA wanapewa na serikali ya CCM wakati ni takwa la sheria ambalo hata kma ingekuwa serikali haupendi upinzani kiasi gani lazima wasign pesa zitoke ila huyu anadanganya watu kana kwamba ni fadhila ya CCM

Badala awaambie nini mtulia atafanya anaishia kuwaambia "ubaya" wa chama alichotoka.... Inashangaza sana mkuu
 
Watanzania kama wewe mnaodhani kuwa billionini hela nyingi sana mna shida za akili. Zijenge chama, zilipe mishahara, zitoe huduma. Bla bla bla! Silly you!
chatoboy alikuwa anayaona mabilioni kama ni mahela mengi[emoji23][emoji23], akawa anapenda kusema "serikali ina hela" kumbe hakujua uhalisia ni kuwa ni hela chache mnoo
 
Tatizo sio yanayotokea ndani ya chama ndio inafanya waame NO, wengi waliopo wanatafuta ugali unategemea mtu aendelee kupigika wakati upande wa pili kuna neema...
Pesa sabuni ya roho
Kwani hao akina Lema na Mbowe wanafanya hiyo siasa bure bila malipo? Kazi ya siasa ni kazi kama zingine. Wanaoifanya lazima walipwe, na ndiyo maana serikali inazipa fedha za ruzuku vyama vya upinzani. Huko chadema wanalipana vigogo wachache tu kwenye chama, tofauti na ccm ambako watendaji wote hulipwa mshahara stahiki.
 
Kwani chama kiliamini Tundu lissu alikuwa anatishiwa na nani?

Hivi kurugenzi ya ulinzi kwenye chama kazi zake ni nini iwapo mtu mkubwa kwenye chama kama MWANASHERIA MKUU anatishiwa na hakuna hatua yeyote ya kumlinda inayochukuliwa pamoja na mabilioni ya ruzuku kinachopata.

Kwa hiyo chama kilitaka tundu Lissu alindwe na tunaowatuhumu?

Hivi akili zote kwenye hiki chama kweli zimekuwa za ki-MangeMange?
Sijui unatumia nini kufikiri??? Chama cha siasa kina training ground ya kufunza watu mbinu za ulinzi...or lets say kijeshi??
 
Njaa na tamaa vyuma vimekaza,anafata fursa pesa ya haraka.
 
Mbaya zaidi anachangisha huku anaishi kwenye hoteli ya kifahari huko Kenya..na michango yote inafikia kwake...

Lissu Mungu amsaidie jamaa wamepiga sana hela kupitia yeye....

Linapokuja swala la Ruzuku mimi ndio huwa nakosa imani kabisa na Chadema ukiachana na kugawana vyeo na viti maalum kikanda.
Vielelezo please ili hatua za kisheria zichukuliwe.
 
Nadhani ungefika ofisini kwao utapata takwimu na taarifa unazo zihitaji...
Hoja yangu imebase kwa hao walalahoi wanao imba vibwagizo.
Ni kweli akishuka hapo anauhakika, vipi Mbowe na kampani yake wanaokula bilioni tano kwa mwaka lakini hakuna raslimali hata moja ya chama. .

Unaweza kuchanganua hesabu zake zinatumika vipi....
 
Nadhani ungefika ofisini kwao utapata takwimu na taarifa unazo zihitaji...
HojH yangu imebase kwa hao walalahoi wanao imba vibwagizo.
Chadema Ni taasisi ya umma inaendeshwa kwa kutumia kodi za wananchi hivyo tunahaki ya kujua mapato na matumizi ya Chama.

Kama chama cha upinzani chenye nia ya kushika dola kilitakiwa kuwa mfano kwa vyama vyote hasa chama tawala.

Lakini mpaka kwa leo bado inaonekana Chadema wanarudi kujifunza siasa kwa ccm hatua ambayo walishatoka kabla ya ujio wa Lowasa.
 
Back
Top Bottom