MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #21
Ulinzi unaanzia kwako mwenyewe kabla ya kutegenea jeshiJe siku hizi ni kwamba kila moja anajilinda mwenyewe wakati policcm wakilinda ccm?
Ulinzi unaanzia kwako mwenyewe kabla ya kutegenea jeshiJe siku hizi ni kwamba kila moja anajilinda mwenyewe wakati policcm wakilinda ccm?
Mkuu,wewe unawaza kwanini hakuwekewa ulinzi,!!!Wenzio walikuwa wakikereka saaana TL alivokuwa akiwika kwenye bunge,medias,kwa wananchi na kila kona nchini TZ utaskia jina la Lisu
Mkuu,wewe unawaza atibiwe kwa pesa ya chama,? Hujiulizi kwann walimktalia Mh Wazir wa Afya baada ya kuwaambia tumpeleke muhimbili na tufate taratibu za kiserikali akimaanisha lolote litakalotokea.itakuwa ni jukumu la serikali kumsimamia mgonjwa.Lkn viongozi wa CDM waligoma tena na kuonesha jeuri kabisa kukodi ndege na kumwahisha kenya.Je hujiulizi hapo??alipokuwa hoi mahututi hana fahamu alipelekwa kenya
Mungu kasaidia kampa afya njema kaanza kuongea na kuchangamka kaweza na kusimama,kula chakula kuongea na waandishi wa habari ati ndio wamempeleka ubelgiji[emoji3]
Hapo ndio ujue kufa ni kufaana
Jamaa wameshamfanya ATM mwenzao[emoji1321]
Watanzania kama wewe mnaodhani kuwa billionini hela nyingi sana mna shida za akili. Zijenge chama, zilipe mishahara, zitoe huduma. Bla bla bla! Silly you!
Nikiri kuwa huyu Mtanzania alikuwa ni hazina ndani ya CHADEMA lakini kinachoshangaza ni kuona Viongozi wakuu wa CHADEMA wakishindwa kutimiza malengo yake.
Wakati mwingine ni vizuri kutoa pongezi pale unapoona adui yako anafanya vizuri. Nawapa pongezi CHADEMA kwa kuwapa CCM kijana ambaye ni hazina ya kisiasa.
Huyu kijana anafaa sana kuwa Katibu Mwenezi wa CCM kutokana na uwezo wake katika majukwaa ya kisiasa.
Ni kweli CHADEMA wana baadhi ya vijana ambao ni wazuri sana kisiasa lakini kwa sasa wanajiunga CCM kutokana na yanayotokea ndani ya chama.
Angalia hii video inayoonyesha uwezo wa huyu kijana katika jukwaa la kisiasa.
[MEDIA]
Unaniambia kuwa CHADEMA ina viongozi takataka!embu jiulize kwanini ccm kuna maprofesa wengi lakini ukiwakuta wanaongea hamna utofauti na yule aliye ishia darasa la 7?
Ndio aje atishie huyo takataka.
Kweli mkuu. Inabidi tu tuwashangilie CCM.ccm oyeeeeee
Pathetic loose bearing headed nut.Mkuu,wewe unawaza kwanini hakuwekewa ulinzi,!!!Wenzio walikuwa wakikereka saaana TL alivokuwa akiwika kwenye bunge,medias,kwa wananchi na kila kona nchini TZ utaskia jina la Lisu
Mkuu,wewe unawaza atibiwe kwa pesa ya chama,? Hujiulizi kwann walimktalia Mh Wazir wa Afya baada ya kuwaambia tumpeleke muhimbili na tufate taratibu za kiserikali akimaanisha lolote litakalotokea.itakuwa ni jukumu la serikali kumsimamia mgonjwa.Lkn viongozi wa CDM waligoma tena na kuonesha jeuri kabisa kukodi ndege na kumwahisha kenya.Je hujiulizi hapo??alipokuwa hoi mahututi hana fahamu alipelekwa kenya
Mungu kasaidia kampa afya njema kaanza kuongea na kuchangamka kaweza na kusimama,kula chakula kuongea na waandishi wa habari ati ndio wamempeleka ubelgiji[emoji3]
Hapo ndio ujue kufa ni kufaana
Jamaa wameshamfanya ATM mwenzao[emoji1321]
Tuwekee vielelezo pia kama uthibitisho.Sasa kama viongozi wakuu wa CHADEMA hawatoi hiyo pesa kuwalipa wafanyakazi wake wakati wanapokea bilioni 15 huoni kuwa ni tatizo ndani ya CHADEMA
Niliwahi kuandika hapa, hamahama ya madiwani na wabunge Upinzani ni kulazimishwa michango inayotokana na posho zao. Wakilalamika wanaambiwa usingezipata kama sio chama kukupa nafasi uliyonayo. Milioni moja na nusu kwa mwezi unalazimishwa kutoa kama vile viongozi hao hawana matatizo yao binafsi ya uhitaji. Mbaya zaidi wameanzisha nafasi za uongozi ambazo haziwakilishi wanachama. Mfano, Viongozi wa kanda ni mzigo kwa wenyeviti was mikoa na wilaya, hawana wanachama lakini wana nguvu na mamlaka kuliko viongozi wa kuchaguliwa wenye watu. Na kwa kua wao ni foresight ya Makao Makuu matokeo yake ni kunawatisha wenzao watoe pesa la sivyo watawaondoa ktk nafasi zao. Huo ndio udikiteta unaokimaliza chama Iringa Mjini na kwingineko sio kunuliwa.
Nikiri kuwa huyu Mtanzania alikuwa ni hazina ndani ya CHADEMA lakini kinachoshangaza ni kuona Viongozi wakuu wa CHADEMA wakishindwa kutimiza malengo yake.
Wakati mwingine ni vizuri kutoa pongezi pale unapoona adui yako anafanya vizuri. Nawapa pongezi CHADEMA kwa kuwapa CCM kijana ambaye ni hazina ya kisiasa.
Huyu kijana anafaa sana kuwa Katibu Mwenezi wa CCM kutokana na uwezo wake katika majukwaa ya kisiasa.
Ni kweli CHADEMA wana baadhi ya vijana ambao ni wazuri sana kisiasa lakini kwa sasa wanajiunga CCM kutokana na yanayotokea ndani ya chama.
Angalia hii video inayoonyesha uwezo wa huyu kijana katika jukwaa la kisiasa.
[MEDIA]
Mtu kutoka chadema kurudi ccm ni sawa sawa kurudi nyuma hatua 10 na kwenda Mbele hatua mbili na kujipongeza.Unaniambia kuwa CHADEMA ina viongozi takataka!
Hiyo mishahara wanalipwa akina nani na zinajenga chama wapi wakati wilayani na mikoani hazifiki.Watanzania kama wewe mnaodhani kuwa billionini hela nyingi sana mna shida za akili. Zijenge chama, zilipe mishahara, zitoe huduma. Bla bla bla! Silly you!
Nimekuruhusu nenda ukawakagueHivi wameshawahi kukaguliwa hawa?
Hivi nikuulize...mwenye jukumu la kulinda usalama wa raia ni nani?
Kama polisi yenye jukumu hilo haikufanya hivyo..unataka vyama vya siasa vifanye? Vyama vya siasa vina train majeshi ya ulinzi?
Be serious kiasi kidogo basi...
Mkuu mtu unajiuliza hizo pesa zote zinaenda wapi, kweli hiki chama kina mambo ya ajabu sana.Tuachane na ushabiki wa kisiasa mimi binafsi sina chama chochote
Lakini lazima tutafakari huyu jamaa alichokisema kwakweli ni maneno mazito saana,na yapo wazi.Yaani wanapeana hadi Ubunge wa viti maalum,!!!
Kumbe chama kilikuwa cha babamkwe,!!duuhh!!!
Hio hoja ya barabara alisema kama mfano tu,hata hoja ya kujenga choo yote ni mifano tu,ila hio ya wabunge kutoa milion na nusu kila mwezi na ruzuku ya chama,aseee ni kali saana,
Kumbe tokea 2015 hadi leo 2018 chama kimeshaingiza bilioni 15
Duuhh,!!ndio maana hata wakivunjiwa majumba yao(billicanas)wakipokonywa mashamba yao wenyewe wapo tu,hawakiachii chama.
Mmhh kumbe kuna ulaji kinoowmaa[emoji1321]
Mbaya zaidi anachangisha huku anaishi kwenye hoteli ya kifahari huko Kenya..na michango yote inafikia kwake...Mkuu;
Hujui kama Mbowe ni mfanyabiashara?
Fikiria hata kutibiwa imebidi Mbowe achangishe badala ya kuchukua kwenye pesa ya ruzuku!
Ndo maana mi sikutaja kujenga barabara.Huyu asiyejua kazi za vyama vya upinzani, anawauliza wananchi CHADEMA wanaweza kujenga barabara? ....... Njaa tu huyu aliishi kwa pesa za Ndesambulo. Ajira shida, uchumi umeshuka chari biashara haziendi. Uchaguzi ukiisha sijui hata nauli ya kurudi Moshi atapata. Anaweza taja chama cha upinzani dunia kilichojenga barabara bila kuwa madarakani, bila kukusanya mapato ya nchi. Wakati mwingine unajuta kuzaliwa Tanzania.
Ni kweli akishuka hapo anauhakika, vipi Mbowe na kampani yake wanaokula bilioni tano kwa mwaka lakini hakuna raslimali hata moja ya chama. .Masikitiko yangu kwa wale wanaosikika kwenye background wakisema ndiooo, semaaaa nk.
Wao wanaburuzwa tu huyo mjinga akishuka hapo account ishasoma manoti.