Huyu abiria ni mzima kweli?

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,649
10438881_537229436414394_3188914425083213408_n.jpg
 
Hahaaaa mi ningempa kipepsi mpaka arambe vumbi. Mambo gani hayo tena?
 
First time juu ya boda boda kizungu zunga kitupu .. . mumsamehe bure .....
 
Huyu uhitaji maelezo, amezidi kajilegeza mno na kidevu amekiegesha kwenye bega la mwendesha chombo.

Na ushikaji wake w akihisia hisia

Hata abiria wanawake wenye huwa hawajilegezi namna hiyo.
 
Huyu ni mzima kabisa, huoni kafunga mkanda! Wewe unayemwangalia ndo umepatwa ashk majunun
 
Back
Top Bottom