Huyo ni Chaguo Lako

Huyo ni Chaguo Lako

Ahsante kwa huu wimbo, nilikuwa nautafuta sana hata you tube haupo
 
Huu wimbo umenibamba haswa kumoyo!
Full ujumbe, Ubarikiwe hasa Muimbaji Manesa Sanga.
 
Huu wimbo umenibamba haswa kumoyo!
Full ujumbe, Ubarikiwe hasa Muimbaji Manesa Sanga.

Mkuu...huu wimbo si mchezo ati.....nina imani ukiwa pale mezani juu lazima ukukune sana
 
..hamna kitu kama hicho!!..
chaguo kwa maana kwamba, baada ya kuchakachua vya kutosha sasa ameona atulie na wewe..!!

..atakuwaje chaguo laki wakati jana alikuwa "anapewa barka" na "kuagwa"..

..i don't believe in this "chaguo" shit!!

Ni wako tu hata kama alikula nyama za kila bucha mjini. Kama ni wako atatulia na nanasi utalikuta lina utamu wake kama halijawahi kuonjwa! Ila kama sio wako, hata ukifungua mwenyewe kutoka kwenye box, baada ya muda mfupi utabwaga manyanga ukatafute manungayembe barabarani.
 
Back
Top Bottom