Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Kwa wanandoa mkipata huu wimbo sikilizeni...Mimi hua unanigusa sana nikihudhuriaga harusi pale watu wanapojifunga na ma sweet heart wao.
Download hapo chini;
View attachment 166829
Huyooo ni chaguo lako
Umeomba miaka mingi
Umetafuta kila mahali
Leo umepata wako
Ambae ni chaguo lako
Alizaliwa kwa ajili yako
Ameumbwa kwa ajili yako
Huyo ni chaguo lako*3
Huyo ni chaguo lako
Hata kama mbeba zege
Hata kama aendesha guta
Hata kama ni kilema
Hata kama ni kipofu
Huyo ni chaguo lako
Hata kama atembeza mboga
Huyo ni chaguo lako
Nyumbani mwenu iwe amani
Isiwe uwanja wa mapambano
Kila mara mbembelezane
Kila mara muombeane
Huyo ni Chaguo lako
Neno la Mungu linasema
Mwanamke atamlinda mume wake kwa maombi
Na wewe tembea na mumeo
Ukimlinda kwa maombi
Kila siku muombee
Kila siku um bariki
Nyumba yenu iwe baraka
Huyoooo chaguo lako*4
Huyo ni chaguo lako
Msisikie ya walimwengu
Wekeni pamba masikioni
Ya walimwengu yatawachanganya
Ya walimwengu yatawachafua
Mwiteni Mungu awatawale
Download hapo chini;
View attachment 166829
Huyooo ni chaguo lako
Umeomba miaka mingi
Umetafuta kila mahali
Leo umepata wako
Ambae ni chaguo lako
Alizaliwa kwa ajili yako
Ameumbwa kwa ajili yako
Huyo ni chaguo lako*3
Huyo ni chaguo lako
Hata kama mbeba zege
Hata kama aendesha guta
Hata kama ni kilema
Hata kama ni kipofu
Huyo ni chaguo lako
Hata kama atembeza mboga
Huyo ni chaguo lako
Nyumbani mwenu iwe amani
Isiwe uwanja wa mapambano
Kila mara mbembelezane
Kila mara muombeane
Huyo ni Chaguo lako
Neno la Mungu linasema
Mwanamke atamlinda mume wake kwa maombi
Na wewe tembea na mumeo
Ukimlinda kwa maombi
Kila siku muombee
Kila siku um bariki
Nyumba yenu iwe baraka
Huyoooo chaguo lako*4
Huyo ni chaguo lako
Msisikie ya walimwengu
Wekeni pamba masikioni
Ya walimwengu yatawachanganya
Ya walimwengu yatawachafua
Mwiteni Mungu awatawale