Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Matola, Apr 18, 2013.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2013
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 34,484
  Likes Received: 9,670
  Trophy Points: 280
  [TABLE]
  [TR]
  [TD] [TABLE]
  [TR]
  [TD]SHABIKI maarufu wa Yanga, Steven Mwamwala, ambaye alianika hisia zake za kutaka kuonana na msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Wema Sepetu, leo wanatarajiwa kukutana ana kwa ana.

  Mwamwala, ni shabiki aliyejipambanua kwa wapenzi na mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi, baada ya kumwaga machozi uwanjani timu yake ya Yanga ilipokubali kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa watani zao Simba.

  Shabiki huyo, Julai 28, mwaka jana, siku ya fainali ya Kombe la Kagame, ambapo Yanga waliibuka mabingwa kwa kuwafunga Azam FC, mabao 2-0, alivua jezi yake na kubaki na fulana iliyoandikwa ‘I Love Wema Sepetu Ubingwa huu ni kwa ajili yako', na kuwaacha hoi wadau na mashabiki waliokuwepo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku hiyo.

  Shabiki huyo, alibainisha kuwa anamzimia msanii huyo wa mitindo kutokana na kazi zake, hivyo anatamani siku moja aweze kumuona ana kwa ana tofauti na sasa anamshuhudia kwa njia ya runinga.

  Akizungumza na Tanzania Daima, Wema alisema, amepata taarifa za shabiki huyo siku nyingi, ila hakuzipa uzito kwa kuwa hakuamini, kwani aliona ni kama shabiki wake tu anayekubali kazi zake.

  "Niliambiwa na watu kitu kama hicho, sawa siwezi jua anataka kuonana na mimi aniambie nini, basi kesho nitaonana naye ofisini kwangu," alisema Wema.

  Kwa upande wake, shabiki huyo alishukuru kuwezeshwa kukutana na Wema, angalau aongee naye kidog
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2013
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Watacheza muvi moja tu wala usipate wivu mleta post
   
 3. Justin Dimee

  Justin Dimee JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2013
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,148
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Haah mbona hainashida na wema si anatoa mpaka na wema wake so sio mbaya mamauruma akimu urumia uyu.
   
 4. Heaven on Earth

  Heaven on Earth JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2013
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 37,008
  Likes Received: 4,596
  Trophy Points: 280
  mwacheni dada wa watu,labda huyo shabiki wa yanga anaweza kuziba pengo la daimond..........,
   
 5. c

  capo JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2013
  Joined: Apr 12, 2013
  Messages: 233
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Mara jamaa kapewa mzigo,mara anaanza kufuatwa na yale magazeti yao,steven maarufu sasa.
   
 6. z

  zejame JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2013
  Joined: Apr 11, 2013
  Messages: 372
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  hata mie wema napenda nikuone sana tu na nakufagi kinoouma but mi si me ni ke
   
 7. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  Mashabiki wa yanga bhana,ya kaizair tumuachie kaizar
   
 8. Salamander

  Salamander JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2013
  Joined: Dec 7, 2012
  Messages: 24,442
  Likes Received: 9,508
  Trophy Points: 280
  Kwani Wema Sepetu anauza nini?
   
 9. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,403
  Likes Received: 2,041
  Trophy Points: 280
  Anauza 'wema'!
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2013
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,133
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 160
  Ana mahela?
   
 11. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,920
  Likes Received: 1,491
  Trophy Points: 280
  na akipewa lazima alie maana kwa kulia yule ndo mwenyewe!
   
Loading...