Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

Tatizo ni mkuu wao wa kaya kazunguka mno nje ya nchi. Aliposhituka kurudi toka safari kawakuta watoto wamejaa kiburi. Hawezi tena kuwanyoosha
 
Furaha ilioje hii kushuhudia mabadliko Tanzania tutawasimulia watoto wetu
 
Haya ni malipo ya jk kwa ccm si walimfanyia umafya 95 nabii wao akasema jk mdogo sasa jamaa aka buy time mana alijua time itafika atawapunish vibaya.
Hao wazee waliokaribu na jk sasa hivi ndo haohao 95 walimfanyia umafya eti leo wanamshauri jk amkandamize ed wakisahau ed was a closest and long life friend wa wanaemshauri sasa asante jk dont leave your friend behind
 
Haya ni malipo ya jk kwa ccm si walimfanyia umafya 95 nabii wao akasema jk mdogo sasa jamaa aka buy time mana alijua time itafika atawapunish vibaya.
Hao wazee waliokaribu na jk sasa hivi ndo haohao 95 walimfanyia umafya eti leo wanamshauri jk amkandamize ed wakisahau ed was a closest and long life friend wa wanaemshauri sasa asante jk dont leave your friend behind

Fact kula like nyingi mkuu
 
Et Kikwete anasema zile picha za Sumaye ni za kuunga unga kwenye computer si zakweli¿¿
 
Tumeshawashtukia na ukaskazini wenu. Hampqti kiti kanda ya ziwa maana na sisi tunaanza rasmi kujimobilize. Hapa hakuna cha UKAWA ni mpango wa Mungu bali mnasupport ukaskazini ili mdivert uchumi wa nchi mpeane nyie. Ukabila ni jadi yenu na angalau tumewashtukia mapema. Mnataka kufanya kama mlivyofanya TRA na CRDB. Humo ni Kimaro, Masawe, Mushi, Kimei ,Kwayu nk. Hatukubali upuuzi huu.

Haya ni mawazo ya mtu aliepewa UBONGO kwa BAHATI MBAYA
 
Mlishaambiwa na NAPE kuwa yeyote anayeondoka CCM ni MAKAPI, na OIL CHAFU. Hivyo hata mheshimiwa Sumaye by definition ya NAPE ni makazi na oil chafu tu.
 
Naam, wakati wanaccm wandakindaki wakihatadharisha mchezo Wa Kikwete na familia yake kumkata Edward lowassa, hawakuelewa athari yake hata hivo Kikwete alijua kuwa Lowassa ni dubwana kubwa lakini aliamua kudharau kwa maksudi. Pia nakumbuka wachambuzi mashuhuri walitoa maoni yao kuhusu hayo na mara baada ya mchakato Wa ccm walitweet ahsante jk kwa kuwapa upinzani nchi. Kwa waswahili (wakwere) wengi fitina za familia ni kubwa kushinda maslahi yeyote yale nahisi alidharau ushauri Wa usalama akaweka wa ridh na mama k.

Daah hii pass ya kisigino ya UKAWA ni hatari, wakati ccm wakitegemea hii week itakuwa yao kwenye media na midomo ya watanzani hasa kwa kuwa wanafungua campaign zao lakini mambo tofauti aisee kwani kuanzia leo na kesho habari kubwa ni uingiaji Wa Sumaye ukawa(heading za ksho na makala zote ni kuhusu sumaye na ukawa). Kwa hiyo psychology na morali ya wanaccm hasa makada imeshuka sababu walitegemea watakusanya nguvu zao zote hasa muda huu ambao jeshi la polisi kuzuiwa maandamano ya kurudisha form za uraisi, ubunge na udiwani kwani waliona hili linawapa nguvu ukawa kwa hyo wakajua wamewadhibiti hawatakuwa na publicity tena. Lakini hawa kujua kuwa wanadeal na mtu ambae ana mikakati ya kutosha iliomsaidia hata kumueka madarakani raisi. Sasa kuanzia kesho hamasa ya wanaccm imepungua kwa kiasi kikubwa kwani sumaye ni mtu mkubwa sana na wameshangaa imekuaje? Instead ktk mkutano wao wataimba na kukimbilia personal attacks dhidi ya sumaye na lowassa badala ya Sera na hapo ndipo washavurugwa kbisa.

Huruma yangu kwa Magufuli na suluhu kwani wanacheza ngoma sio size yao kwani ngoma hii jakaya mwenywwe inamhenyesha lkn kwa tahayuri aliokuwa nalo hana jinsi zaidi ya kuogopa lawama chama kisimfie mikononi kwani anajua fika kuwa lowassa is ahead them 1000m kwa kila step wanayoitumia.


7 (7).jpg

Taratibu washaanza kujitambua
 
Back
Top Bottom