Huyo ndio Lowassa anaeinyima usingizi Kikwete na CCM yake

.....kudaaadadadadadeeeeeeekkiiiiiiii rahaaaaaaaa mpaka waisome nuuuummmbeeerrrrrr.....piiiiiiipoooooooozzzzz...! WOTE ukawaaaa...

Poooooowerrrrrrrrrrrrrrr........
 
Tumeshawashtukia na ukaskazini wenu. Hampqti kiti kanda ya ziwa maana na sisi tunaanza rasmi kujimobilize. Hapa hakuna cha UKAWA ni mpango wa Mungu bali mnasupport ukaskazini ili mdivert uchumi wa nchi mpeane nyie. Ukabila ni jadi yenu na angalau tumewashtukia mapema. Mnataka kufanya kama mlivyofanya TRA na CRDB. Humo ni Kimaro, Masawe, Mushi, Kimei ,Kwayu nk. Hatukubali upuuzi huu.

We jamaa tulia we CCM nn tuliza mtori nyama zipo chini mwenyw wa kanda ya ziwa tunaitaji mabadiliko
 
In my view and a well considered one, Edward Ngoyai Lowassa will provide the much needed leadership that our country desperately requires. John Pombe Magufuli will only, in contrast, give us what he is best at, mere good management.
GOOD leader is always a GOOD Manager,,,,GOOD manager is not necessarly a GOOD LEADER!!! WE LOVE U LOWASSA!
 
Tumeshawashtukia na ukaskazini wenu. Hampqti kiti kanda ya ziwa maana na sisi tunaanza rasmi kujimobilize. Hapa hakuna cha UKAWA ni mpango wa Mungu bali mnasupport ukaskazini ili mdivert uchumi wa nchi mpeane nyie. Ukabila ni jadi yenu na angalau tumewashtukia mapema. Mnataka kufanya kama mlivyofanya TRA na CRDB. Humo ni Kimaro, Masawe, Mushi, Kimei ,Kwayu nk. Hatukubali upuuzi huu.
Mkuu hili la ukaskazini linatoka wapi? nikiangalia kwenye bunge lililo pita zaidi ya 50 % ya wabunge wa kaskazini walikuwa wanatoka ccm.
 
Tumeshawashtukia na ukaskazini wenu. Hampqti kiti kanda ya ziwa maana na sisi tunaanza rasmi kujimobilize. Hapa hakuna cha UKAWA ni mpango wa Mungu bali mnasupport ukaskazini ili mdivert uchumi wa nchi mpeane nyie. Ukabila ni jadi yenu na angalau tumewashtukia mapema. Mnataka kufanya kama mlivyofanya TRA na CRDB. Humo ni Kimaro, Masawe, Mushi, Kimei ,Kwayu nk. Hatukubali upuuzi huu.

Ukabila me siujui mkuu mwenyewe kanda ya ziwa lakini hapa Mapinduzi ya nchi ndo yanatakiwa lazima tuwalaze poli na uccm wenu pia kama umeshituka shituka wewe na mkeo ndani kitandani

Huo ukaskazini ni upi hebu tafuteni hoja zenye mashiko mbona wasukuma na wanyakuysa wameunga mkono kwa wengi lowassa
 
Back
Top Bottom