Ndio, ni Mwana wa Adamu. Baada ya kuimaliza kazi iliyomleta duniani, alipaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba. Mungu ni mmoja lakini ana nafsi tatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Nafsi tatu lakini Mungu mmoja.
Yap.
Mathayo 19:9 Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Yap.
Mathayo 19:9
Nami nawaambia ninyi, Kila mtu atakayemwacha mkewe, isipokuwa ni kwa sababu ya uasherati, akaoa mwingine, azini; naye amwoaye yule aliyeachwa azini.
Ndio, ni Mwana wa Adamu. Baada ya kuimaliza kazi iliyomleta duniani, alipaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba. Mungu ni mmoja lakini ana nafsi tatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Nafsi tatu lakini Mungu mmoja.
....Ameketi mkono wa kuume wa Mungu....aliyeketi ni Yesu! Halafu Yesu huyo aliyeketi kuumeni kwa Mungu ni Mungu! Nilisema mapema kuna hitajika akili salama hapa...