Huyo jirani utamfanyaje?

Huyo jirani utamfanyaje?

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau.
Ni Jirani Yako.
Ni rafiki Yako.
Ila leo kaamua Kucheza na Mwanao kwa style hiyo!
Mpe neno moja

FB_IMG_15815082012450008.jpg
 
Hao watoto wanaofanyiwa hivi baadae ndio wanakua JIWE. Hawakubembelezwa ki lelemama. Mama akitoka mtoto haachwi na housegirl.

Anafungiwa kamba kwenye mti, nyoka akija anapambana nae.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mkasa wa kweli..ulitokea ndani ya nyumba (jina la mji kapuni) kuna mgeni alifikia hapo akaanza kucheza na young ones..mara akamusha motto juu OMG !! fani ya ilikuwa ikizunguka kwa kasi PAAaaaa... !! matokeo utaijua mwenyewe..!!
 
kwa kuiangalia iyo picha uyo dogo anaoneka ana enjoy kweli au you kwenye hofu?.
mimi naona jamaa aliye mrusha yupo na mafuraha kweli kuliko dogo
 
Back
Top Bottom