HUYO JAMAA NI KIRUSI HATARI KWA CCM YANGU!

Tinde nsalala

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
248
253
Je,ni kweli niendelee kumuuunga mkono kwa hayo ayafanyayo?
Je,ni kweli ni chaguo la MUNGU?
Je,ndiye hasa niliye mungoja?
Je,ndiye mtu sahihi kwa mama taifa?
Je,ni ipi hukumu yangu itayonipata nikiendelea kumuunga mkono anipaye mashaka HUYU?
Ni kweli nipo ktk mikono salama?
Ni kweli ni mtu wa MUNGU HUYU?
Ni kweli si laghai HUYU?
Ee mwenyezi MUNGU, nipe nguvu ya kuelewa juu ya hayo.Hakika nipo ktk wakati mgumu nisiopata kuwa ktk umri wa maisha yangu yote.Nitie nguvu niweze ng'amua juu ya hili-AMINA.
 
Mimi pia ni mwana CCM haswa, Mzee makamba alisema ubatizo wa moto,ndo huu.
In fact I am in dilemma , uchaguzi niliofanya, nimechagua kuwa mkimya . with no comment. Kauli ya Kinana kwenye maazimisho hata sijamwamini. Ila chama nakiamini kita settle the issue,maana kimevuka mengi
 
Huyu maji kupwa maji kujaa.
Yaani fuse moja imekatika kumkichwa.

Sii vibaya akipimwa kwa mkemia mkuu.
--------------UPDATES------------
Au ile gospitali ya rufaa iliyoko dodoma pekee.
 
Mimi pia ni mwana CCM haswa, Mzee makamba alisema ubatizo wa moto,ndo huu.
In fact I am in dilemma , uchaguzi niliofanya, nimechagua kuwa mkimya . with no comment. Kauli ya Kinana kwenye maazimisho hata sijamwamini. Ila chama nakiamini kita settle the issue,maana kimevuka mengi
Ndg yangu,ninao wakati mgumu sana!Sikufiri hivyo kwamba nitaja kuwa ktk njiapanda yenye utata mwingi kiasi hiki.Naanza kukililia chama changu!
 
Je,ni kweli niendelee kumuuunga mkono kwa hayo ayafanyayo?
Je,ni kweli ni chaguo la MUNGU?
Je,ndiye hasa niliye mungoja?
Je,ndiye mtu sahihi kwa mama taifa?
Je,ni ipi hukumu yangu itayonipata nikiendelea kumuunga mkono anipaye mashaka HUYU?
Ni kweli nipo ktk mikono salama?
Ni kweli ni mtu wa MUNGU HUYU?
Ni kweli si laghai HUYU?
Ee mwenyezi MUNGU, nipe nguvu ya kuelewa juu ya hayo.Hakika nipo ktk wakati mgumu nisiopata kuwa ktk umri wa maisha yangu yote.Nitie nguvu niweze ng'amua juu ya hili-AMINA.
utaisoma namba. na bado
 
Back
Top Bottom