huy ni Jogoo au njiwa!?

huy ni Jogoo au njiwa!?

Duu, Preta majibu yako sasa hivi yanafurahisha. Acha kuchanganya watu na majina bana. Wape ya ukweli.

Anaitwa Common Pheasant (Phasianus colchicus) na ana asili ya Asia. Ila kwa sasa hivi anafugwa sehemu nyingi sana. Kwa Tanzania pia anafugika kama kule Arusha na Kilimanjaro, sehemu za kibaridi au Mbeya ni poa sana.

ring-necked-pheasant.jpg

huyu ni bastard.........kaka yake na Kori......
 
ukipita Saranda utamjua huyo kuku au njiwa, kila ukipita mitaa hiyo na gogo(reli ya kati) basi yupo anauzwa hapo amekwisha pikwa
 
Mhhhhhhh mkuu mbona hapo pagumu ndugu yangu we unawinda hadi watu!!!!!!!em fafanua kidogo maanake nimepata kigugumizi kidogo ujue..................
Kumbe nilikua sijakuambia eenh...huwa nawinda hadi watu pia!!
 
I have a one eyed snake if u know what i mean!!!

Mhhhhhhh mkuu mbona hapo pagumu ndugu yangu we unawinda hadi watu!!!!!!!em fafanua kidogo maanake nimepata kigugumizi kidogo ujue..................
 
niliwahi kuwaona siku nyingi kidogo wakati nipo kilimanjaro kwenye misitu ya langoni
 
Huyo ndege anaitwa Jonji anapatikana huku Mabwepande.
 
Duu, Preta majibu yako sasa hivi yanafurahisha. Acha kuchanganya watu na majina bana. Wape ya ukweli.

Anaitwa Common Pheasant (Phasianus colchicus) na ana asili ya Asia. Ila kwa sasa hivi anafugwa sehemu nyingi sana. Kwa Tanzania pia anafugika kama kule Arusha na Kilimanjaro, sehemu za kibaridi au Mbeya ni poa sana.

ring-necked-pheasant.jpg
Huyo atakuwa chotara wa kiume wa Guinea fowl na Kuku wa kienyeji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom