huy ni Jogoo au njiwa!?

huy ni Jogoo au njiwa!?

aaah!mabwepande?huwa hawaongei!!!maana wanaweza kusaidia upelelezi wa tukio!!
Siku hizi hawawaleti huku, wameanza kuwafuata nyumbani hukohuko. Huku kuna ulinzi mkali hali shwariiiiii.
 
na hii inatisha sana maana sehemu salama pekee imebaki kuwa mabwepande!!
Tuombe katiba mpya iruhusu watu wote walio kwenye ngazi za uongozi iwe wa Serikali kuu au Taasisi yoyote ile kupewa Ulinzi au wamilikishwe Silaha za moto kwa ajili ya ulinzi binafsi.
 
Tuombe katiba mpya iruhusu watu wote walio kwenye ngazi za uongozi iwe wa Serikali kuu au Taasisi yoyote ile kupewa Ulinzi au wamilikishwe Silaha za moto kwa ajili ya ulinzi binafsi.
mmmh!mkuu,huo ulinzi wa si utakuwa ghari sana!nadhani hilo la kumilikishwa silaha!!ila jamaa wa kazi nao wakisikia unamiliki silaha wanaifuata!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom