Huwezi kutoboa maisha kwa betting

Huwezi kutoboa maisha kwa betting

Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi",

Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi

Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio",
Lose ration ikiwa Ni kubwa kuliko Gain Ratio Unapoteza Muda wako,Unadumaza Akili yako na Kupoteza rasimali pesa yako",

Amka Kutoka Usingizini Betting Haitokutoa kwenye Umaskini,Haitokupa Maisha ya Ndoto zako Toka Magetoni Nenda kapambane mtaani unachokipata kiheshimu na fikilia namna ya kukiongeza".
Kabisa na huo ndo ukweli!!,,lkn huwa najiuliza kwanini serikali inaacha michezo kutapakaa kila mahali,hadi kwenye nyumba binafsi!!!, Mbele ya kiosk au duka!!! Na matangazo lukuki kwenye vyombo vya habari usiseme,inatia hasira kwa kweli.
 
Kabisa na huo ndo ukweli!!,,lkn huwa najiuliza kwanini serikali inaacha michezo kutapakaa kila mahali,hadi kwenye nyumba binafsi!!!, Mbele ya kiosk au duka!!! Na matangazo lukuki kwenye vyombo vya habari usiseme,inatia hasira kwa kweli.
Huenda mbali na Kodi wanayolipa haya makampuni,Kuna Waliopo serikali Ni wanufaika haya makampuni(Wana Hisa)
 
95% ya mataifa yote duniani kuna kampun za kubet,
Vipi mataifa yote yanashida?
Ila Wenzetu hawaamkii asubuhi Betting kwao Ni Sehemu ya starehe tu sio ya kutafuta mafanikio ya haraka na shortcut ya kutoboa
 
Nina Degree yangu ya Betting Analyst kutoka UDSM. Uwa natoa sure Odds. . Betting imenipa magari makari na apartment hpa mjini
 
Hela ya kubet tamu,juzi nimepiga laki 9 na 93 aisee rahaaa.
Nipo nawinda boom kubwa kuanzia M50.
Jamaa angu kapiga M22 kavuta alphad kakodisha kwenye kampuni anakula hela saafi.
Kama huna bahati,hujui michezo acha usiliwe tu
 
Back
Top Bottom