Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mwambie huyo mwana koromitjeWe pimbi kaa kimya unakumbuka bimkubwa alienda tanga jiulize nani alipanga safari na ilikuaje acha kutetea watu usio waelewa

Utazidi kuumia sana utawala huu maana tushaamua kuwabwaga mataga woote hamna nafasi tena.Hatumchukulii Kama mungu ila tunaheshimu Mambo mazuri aliyafanya kwenye kipindi chake Yale mabaya tunamsamehe alikua no binadamu lakini hatutaki kumuhukumu hata wewe ukiwa Rais hautowafurahisha wote mkuu
"NAAAM....!Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.
Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya
Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.
Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.
Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
Sasa Magufuli ana mafanikio gani? Labda kuwaita nyie wanyonge na mkakubali.Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.
Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya
Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.
Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.
Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.
Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya
Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.
Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.
Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
"NAAAM....!
Miradi yake mingine inaleta foleni na mingine hasara? Ni rahisi tu, kwa nini tuendelee na Ma-foleni na Ma-hasara? ...Nashauri Vunjeni Madaraja na Flyovers zote, Ng'oeni reli zote especilly SGR, uzeni Ndege zote na vivuko vyote nchini, Uza Meli zote Mpya zilizozinduliwa, kule Ziwa nyasa, simamisheni Ujenzi wa Bwawa la umeme, Gaweni Migodi yote, Binafsisheni Milima, Maziwa na Mbuga.
Bomoa Bandari zote zilizoboreshwa ikiwemo Mtwara, Tanga na Dar, Jengeni moja ya Wachina kwa mkataba wa miaka 100...rudisheni Ada shuleni tukuze uchumi, Wapeni Matajiri Exemptions za kodi, Ruhusuni Makinikia kwenda nje, Vunjeni Masoko mapya ya Madini mikoani, ...Charaza Bakora Machinga mjini, Mwaga wali wa Mama Ntilie.
Vunja vyama vya wakulima na utaratibu wa stakabadhi ghalani, Ruhusuni Uhuru wa Mashoga, Mateja kwa wingi mtaani, madawa ya kulevya n.k....pia Msisahau kuifunga ile Mahakama ya Mafisadi,....kwa uchache tu Hakika hapo sasa pengine Tanzania itakuwa kama ULAYA, Tanzania ya Asali na Maziwa!.
Vunjeni makao makuu Dodoma mrudishe serikali Dar.
Hapo sasa mtakuwa mmemkomoa Magufuli na watoto wake watashinda njaa ili anyooke kabisa.
Nawasilisha
Sasa mkuu unabisha nini na unasema nini? Mambo ya Nyerere si ndiyo mambo hayo ya miaka ya sabini au? Amini nakwambia mtu mshamba aka bush boy hawezi kukupeleka kwenye maendeleo zaidi ya kukudumaza kwenye ujima na unyonge.Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.
Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya
Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.
Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.
Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
Assad aliyasema akafukuzwa kazi.. The guy was a selfish thief.Huyu boya katengenezwa kuharibu kwenye vichwa vya watu legacy ya magu kitu ambacho hataweza ametumwa hakuna kitu kipya je angekua magufuli yupo hai angeyasema haya?
Umaskini ulitamalaki.. Pumbavu ale vumbi huko na wasukuma wote tutawasafisha.Sasa mkuu unabisha nini na unasema nini? Mambo ya Nyerere si ndiyo mambo hayo ya miaka ya sabini au? Amini nakwambia mtu mshamba aka bush boy hawezi kukupeleka kwenye maendeleo zaidi ya kukudumaza kwenye ujima na unyonge.
Kuna ripoti mbili ziliandaliwa , hii ya ukweli na ile ya uongo ambayo angepewa jiweSo tatizo la CAG ni kusema ukweli ama?
😂 😂 😂So tatizo la CAG ni kusema ukweli ama?
Unataka CAG atoe report za kumsifia Magu?Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.
Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya
Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.
Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.
Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
warudishe na interview za sekretarieti ya ajira tufanyie darNaona kuna oparation ya kumchafua Rais Magufuli nawaambie Magufuli kaacha vitu vinayoonekana.
Nashauri wanaomchafua wabomoe
Ikulu ya Dom
Stend za mabasi alizojenga.
Wabomoe SGR
Wabomoe bwawa la umeme
Wabomoe daraja jipya Salenda
Wabomoe daraja la Busisi
Wachome ndege
Wabomoe ma fly over
Wabomoe barabara zote nchini alizojenda
Wabomea viwanja vya ndege alivyojenda
Haha
Bravo CAG. Sasa tuko MATHA=Make Tanzania Happy Again. MATAGA ilifeli na SIEGI amethibitisha. Ndiyo maana alibinya uhuru ili watu wasiseme maovu. Sasa tuko na uhuru tena na tutasema. Hiyo report ya CAG ndiyo uhalisia maana zilizopita alitaka ziandike mambo ya kufurahisha na kudanganya na hatimaye akapigana na Auditor wa Ukweli Assad. Sasa hakuna cha kificho maana Rais wetu aliyeko Madarakani ni mkweli na muwazi.Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.
Taratibu wanafiki wanaanza kujionesha mmmoja mmoja, wanahaha kama mtu aliyekula nyama ya binadamu. Mpaka kufikia June wanafiki wote watajulikana.
Nizungumzie Report ya CAG. Sijaona mahali popote ikionesha mafanikio ya Hayati JPM, Report mzima imejaa masemango, kwamba JPM hakuna jema alilofanya
Mfano CAG kasema Stand ya Magufuli ya Mbezi itasababisha foleni njia ya Morogoro, ooh my God ilimradi tu mradi uonekane hauna maana kasahau fursa zinazopatikana pale.
Kubwa nyingine kuhusu mradi wa umeme wa Bwawa la Nyeyere anasema Mradi unatumia plan za miaka ya sabiini amesahau kwamba mradi huu ulianzishwa na mwalimu Nyerere JPM alikuja kuendeleza tu.
Tushajua hizi ni njama za kumchafua mzee. Sasa fanyeni mtakavyo ila jueni huyu mzee ana kundi kubwa la watu ambao hawako huko twitter, insta. Wakiona mambo yanaenda kombo hawatavumilia.
Acha kuleta ukabila hapa,wasukuma wamekufanyaje?Ndio maana tunasema wasukuma ni washamba sana ,yaan na mibunduki mizito ile anauawa kizembe na watoto wa mjini?
Ni mpumbavu tu anaweza kuamin Hilo maana jiwe ndie rais kuwahi tokea kuwa na ulinzi mzito namna ile ,alaf mafala Kama wewe et ameuwawa inside the job .
Na Kama mnaaamin ameuwawa basi mmepata somo kuwa mibunduki na minguvu si chochote Bali akili ndio kila kitu. Siku wasukuma mkijapata tena urais msijerudia kutawala kwa kutumia minguvu bal tumia akil ,maana Kama mtaendeleza ujinga wenu mtafinywa sana na watoto wa mjini kimya kimya.
Mkuu,Siyo siri tena, nimebaini mchezo mchafu unaendelea kwa lengo la kumchafua Hayati Dkt Maguli.