Huwezi Amini, Raja wa hatya kumbe Demu!

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Picha hizo zikionyesha jinsi alivyokuwa ktk uhusika wake ktk Hatya kama mtoto wa kiume, na nyingine ikimwonyesha nje ya filamu!

Anaitwa Sujitha, alizaliwa 12/7/1983! Mume wake anaitwa Dhanush, ana watoto wawili! Alicheza hatya mwaka 1988!

Kweli wadosi nimewakubali aisee kwa mautundu!

1452574211179.jpg

Akiwa mtoto kwenye filamu. (wa kiume)

1452574232539.jpg

Alivyo sasa..
 
Last edited by a moderator:
Duh umenikumbusha mbali aisee.. first time nimeangalia hiyo movie ilikua mwaka 92 na sikulala usiku...
inasikitisha sana
 
Picha hizo zikionyesha jinsi alivyokuwa ktk uhusika wake ktk Hatya kama mtoto wa kiume, na nyingine ikimwonyesha nje ya filamu!

Anaitwa Sujitha, alizaliwa 12/7/1983! Mume wake anaitwa Dhanush, ana watoto wawili! Alicheza hatya mwaka 1988!

Kweli wadosi nimewakubali aisee kwa mautundu!

View attachment 316308
Akiwa mtoto kwenye filamu. (wa kiume)

View attachment 316309
Alivyo sasa..
Amekaa kidumedume.
 
Kwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.

Hyo movie ilitubamba sana watoto enzi hzo... Tena kwa kuchungulia madirishani..
Movie za kuchungulia dirishani nimecheki sana banda umiza....mimi 2006 ndo nipo darasa la 4 jus imagine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom