unknown animal
JF-Expert Member
- Jul 18, 2012
- 337
- 51
Sijakuelewa labda wenzangu waje wanisaidie...
Labda ndiyo maana Vasco Dagama hajaambulia kitu tangu aanze kuzurura na bakuli la kuomba misaada kwenye Nchi za wanaume wenzake.hawa ndio wa tanzania tulio nao ambao hata kuelezea wazo likaeleweka kwa watu ni tatizo.......usijiulizwe kwanini tupo tulipo, nadhani jibu ni hili hapa
Labda ndiyo maana Vasco Dagama hajaambulia kitu huko majuu tangu aanze kuzurura na bakuli la kuomba misaada kwenye Nchi za wanaume wenzake.
tatizo anaongelea watu wanavyofail interview wakat yeye yupo na keyboard peke yake chumban kwake lakin kashindwa kueleza kitu kinachoeleweka hapa, sembuse interview mbele za watu, dah nimegundua watanzania wamejaa mastress tu wawapo makwao, barabaran, makazin, kwenye sehemu za ibada...poleni jaman
namashtee wajumbe,
kimsingi sidhani kama kuna ulazima sana wa kutumia nguvu kubwa kuwaachia mwanamke tofauti maneno yako ili uonekane mashuhuri tena kwa lugha ya inteview wakati ungetunza yangekusaidia,kwa sababu kwenye interview vijana folders za ngeli huwa zinaevaporate,hili ni angalizo tu.

:grouphug::grouphug::behindsofa::behindsofa::A S-heart-2::A S-heart-2::mimba::mimba::violin::violin:
:focus::focus: