Faru dume
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 471
- 116
Poleni wadau.
Nina swali moja nataka kuuliza kwa wanajamvi,hivi mapenzi yana chuja na kwa nini yachuje.
Nauliza hivi sababu rafiki yangu analalamika every day mpenzi wake kabadilika.
Mpaka mimi nashangaa sababu walikua wanapendana sana mpaka kijijij chote kinajua but sasa hivi imekua vise vesa.
Naomba tujadili ' mapenzi yanachuja.