Huwa unatumia muda gani kufukuzia demu

Huyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.

Unajua mademu huwa wana katabia kao, kwamba hata kama umemshushia mistari hatakuwa open kwa haraka kukukubalia lazima aonyeshe kausumbufu, ila kufikia kutotaka mawasiliano ni ishara tosha hayupo tayari kuwa na mahusiano nawe.

Na kuhusu muda wa kufukuzia demu, hakunaga muda maalumu unaotosha kuacha au kuendelea kufukuzia. Kitu kikuu ni kuusoma mchezo, kuna mademu huwa ni kama unapiga tu penalty tayari mechi inaisha kwa ushindi ila kuna mademu lazima ukubali kushambulia huku wakikaba, muda ukifika hata dk ya 89 unaweza kuondoka na points 3 muhimu.
We kweli ni kiungo mshambuliaji.
 
salaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali mpaka nione ndani. Wakuu nyie huwa mnafanyaje
Mkuu Karne hii hakuna kufukuzia mademu tena, Hayo ni mambo ya Kizamani

Siku hizi unachukua namba ya simu, unamualika sehemu anakuja , kama ni demu wa kisasa unamnunulia chakula au unamtoa out tu, baada ya hapo uelekeo ni gheto au lodge.

Hakunaga tena mambo ya kutongoza. Mimi mara yangu ya mwisho kutongoza ilikuwa mwaka 2012.
 
Ungejaribu kufatilia na takwimu za sensa,au siku za sikukuu watoto waliozaliwa me wangapi na ke wangapi.
 
salaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali mpaka nione ndani. Wakuu nyie huwa mnafanyaje
Unataka kuoa au kutoa kutu tu? Kama wa kutoa kutu siku hiyo hiyo mnamaliza
 
Back
Top Bottom