Huwa unatumia muda gani kufukuzia demu

Mkuu kwenye mbinu zako kama pesa haijahusika... Ongeza miezi 3 ndio unaweza kumla... Subiri akuonee huruma..

Usikate tamaa...
Wakiwa wakali hvo ndio huliwa kirahisi sana... Jitahidi ku balance shobo
 
Mkuu kwenye mbinu zako kama pesa haijahusika... Ongeza miezi 3 ndio unaweza kumla... Subiri akuonee huruma..

Usikate tamaa...
Wakiwa wakali hvo ndio huliwa kirahisi sana... Jitahidi ku balance shobo
asante sana kiongozi
 
Hawa viumbe hawana formula niliwahi kupambania kombe kwa binti kipindi tunasoma darasa la pili mpaka la4 nkawa naambulia matusi ya kisambaa tu na baadaye nikahama shule nikarudi hm dsm, nakuja kumla mwaka ninaomaliza chuo tena kwao sijui kwake pale alikua maeneo ya mburahati na namba yake nlshapotezaga nlmgumia tu fb nkatupa ndoano....imagn darasa la nne mara ya mwsho kunikazia mpka namaliza bachelor yan kumaliza primary, o'level, advance mpaka chuo....muhmu km ipo ipo tu ww mwnyw na uvumilivu wako
 
Naomba huu uzi uwe open na siku akimla alete mrejesho.

1. "Usinitafute wala kunipigia simu"
2. "Usinitafute"

1. "Nina mtu wangu, naomba tuheshimiane"
2. "Nina mtu wangu lakini"

1. "Sipo tayari kuwa kwenye mahusiano kwa sasa"
2. "Naogopa kuwa kwenye mahusiano tena"

Probably hizo ni kauli common sana mwanamke kuzitoa ukiwa unamfukuzia, zote ni kama zinafanana ila kiukweli ni vitu viwili tofauti.

Kuna tofauti demu akisimamia msimamo wake na akiwa hajui asimamie wapi.

Demu yoyote atakayetoa kauli yoyote ya pili kati ya hizo ni more likely kuliwa. Simkatishi jamaa tamaa, lolote linaweza kutokea.
yeah man nitaleta mrejesho
 
Hawa viumbe hawana formula niliwahi kupambania kombe kwa binti kipindi tunasoma darasa la pili mpaka la4 nkawa naambulia matusi ya kisambaa tu na baadaye nikahama shule nikarudi hm dsm, nakuja kumla mwaka ninaomaliza chuo tena kwao sijui kwake pale alikua maeneo ya mburahati na namba yake nlshapotezaga nlmgumia tu fb nkatupa ndoano....imagn darasa la nne mara ya mwsho kunikazia mpka namaliza bachelor yan kumaliza primary, o'level, advance mpaka chuo....muhmu km ipo ipo tu ww mwnyw na uvumilivu wako
wapo hivyo mkuu wangu
 
salaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali mpaka nione ndani. Wakuu nyie huwa mnafanyaje
Wiki tu inatosha kujua mbivu na mbichi
 
MARUFUKU KUKATA TAMAAA.

Kuna mmoja nilimfukuzia tokea 2015 nikaja kumla 2018

Kuna mmoja nilimfukuzia tokea 2018 nimemla juzi juzi 31/02/2021

Kuna mmoja nilimfukuzia ijumaa nikiamla jumapili.

Kuna mmoja nimeanza 2016 mpaka leo sijamla😭😭😭 ila SIJAKATA TAMAA.

Kuna mmoja nilmfukuzia January nikaja jumla November.

WANAWAKE HAWAELEWEKAGI.

Ni wengi tu, ila siwezi kuwakumbuka wotee.

Maana wengi wao siku wakinipa tu baada ya kusotea huwa ndio THE END siku hiyohiyo.
Maana ukijifanya kuendelea SUBIRI INVOICE zinavyoingia kwa simu..🤒🤒🤒

Ila ambae nilisotea tukabaki kuwa marafiki ni kipenzi changu D Nilianza Sotea Chuo First Yr nikaja kupewa siku ya graduu Tena from Thursday to Sunday kama nimeoa.

Graduu yangu ya bachelor siwezi sahau.

Unaenda kuhangaika na clearance form ukirudi guest (nilisoma Mkoani) unamkuta baby aliyekusumbua anakusubiri kashaoga zamaniii.
Dah ila washamuoaa 😥😥😥😥

#YNWA
Mkuu si ndo huyo umesema hamjatafutana tena baada ya hapo?
 
Back
Top Bottom