Huwa unatumia muda gani kufukuzia demu

Huyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.

Unajua mademu huwa wana katabia kao, kwamba hata kama umemshushia mistari hatakuwa open kwa haraka kukukubalia lazima aonyeshe kausumbufu, ila kufikia kutotaka mawasiliano ni ishara tosha hayupo tayari kuwa na mahusiano nawe.

Na kuhusu muda wa kufukuzia demu, hakunaga muda maalumu unaotosha kuacha au kuendelea kufukuzia. Kitu kikuu ni kuusoma mchezo, kuna mademu huwa ni kama unapiga tu penalty tayari mechi inaisha kwa ushindi ila kuna mademu lazima ukubali kushambulia huku wakikaba, muda ukifika hata dk ya 89 unaweza kuondoka na points 3 muhimu.
 
salaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali mpaka nione ndani. Wakuu nyie huwa mnafanyaje
Ndani kuona itakuwa ngumu mzee 😁 we chungulia dirishani tu
 
Haya ni maelezo ya striker Nguli kabisa 😂😂😂
 
lakini mkuu lazima nimpige hata kama kwa kubadilisha tekniki
 
salaam wakuu. Nna mwezi wa pili sasa namfukuzia huyu msichana na currently sina mahusiano so nna ugwadu wa hatari ila demu kachomoa na anasema nisimtafute wala kumpigia simu, ila mimi sikubali mpaka nione ndani. Wakuu nyie huwa mnafanyaje
Penye uzia penyeza rupia! Wahenga walisema... .
 
Uzi closed master!
Huyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.

Unajua mademu huwa wana katabia kao, kwamba hata kama umemshushia mistari hatakuwa open kwa haraka kukukubalia lazima aonyeshe kausumbufu, ila kufikia kutotaka mawasiliano ni ishara tosha hayupo tayari kuwa na mahusiano nawe.

Na kuhusu muda wa kufukuzia demu, hakunaga muda maalumu unaotosha kuacha au kuendelea kufukuzia. Kitu kikuu ni kuusoma mchezo, kuna mademu huwa ni kama unapiga tu penalty tayari mechi inaisha kwa ushindi ila kuna mademu lazima ukubali kushambulia huku wakikaba, muda ukifika hata dk ya 89 unaweza kuondoka na points 3 muhimu.
 
Huyo ameonyesha wazi hayuko interested na wewe, kama amefikia kukuambia usimtafute wala kumpigia simu means hayupo tayari.

Unajua mademu huwa wana katabia kao, kwamba hata kama umemshushia mistari hatakuwa open kwa haraka kukukubalia lazima aonyeshe kausumbufu, ila kufikia kutotaka mawasiliano ni ishara tosha hayupo tayari kuwa na mahusiano nawe.

Na kuhusu muda wa kufukuzia demu, hakunaga muda maalumu unaotosha kuacha au kuendelea kufukuzia. Kitu kikuu ni kuusoma mchezo, kuna mademu huwa ni kama unapiga tu penalty tayari mechi inaisha kwa ushindi ila kuna mademu lazima ukubali kushambulia huku wakikaba, muda ukifika hata dk ya 89 unaweza kuondoka na points 3 muhimu.
Bro usimkatishe mwenzio tamaa...

Mi wa dizaini hii "usinitafute" nishawala wa3...

Tena mmoja nikiwa chuo nilianza kumfukuzia first yr nilikuja kumla tushamaliza siku ya graduu.

Tena nilijifungia nao mzigo from siku tunafika chuo kuhudhuria graduu mpaka tunaondoka (Thursday to Sunday).

Na tulivyotoka hapo hatukutafutana tenaaaa.

Ukiona unaanza kumuelewa mwanamke ujue unakaribia kufa.

Komaa ATAVUA TU.

#YNWA
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom