Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

Mimi nilikua mmojawapo.watu hao ambao kwangu swala la kubadili mswaki lilikua ni mtihani niliutumia mpaka pale nilipoona kua sasa umechoka na pia sikuangalia ubora wa mswaki wenyewe kwa kweli.
KWA MARA YA KWANZA,jana niliiingia supermarkert moja hivi kununua mahitaji mbalimbali ndipo nilipopata wazo la kununua mswaki.
Miswaki niliyoikuta ni ya kampuni mbalimbali mfano.colgate,whitedent na mingine mingi tu,cha.achabu ni utofauti wa bei katika miswaki ile ile yakila kampuni mfano kwenye hio ya colgate ulikuepo wa kuanzia mia mbili na wa bei ya juu ni elfu mbili ya kitanzania .
Niliamua kuchukua wa bei rahisi lakini mhusika alinishauri nilishauri ninunue huo wa elfu mbili kwa uharaka tu nilidhani ni mkakati wa kibiashara ila leo asubuhi ndio nimejifunza yafuatayo.
KWANZA.Mswaki ule ni kampuni ya colgate lakini madein vietnam ni imara sana baada ya matumizi ya siku moja tu nimegundua kua unatakasa vizuri kuliko aina zote nilizokua natumia awali .
PILI.huu ni last longer hivo unakidhi kabisa vile vigezo vya kua ni vyema kuubadili miezi mitatu kama walivyoandika wao .
HITIMISHO.kwa aina hii ya mswaki na uimara ni sahihi kabisa.kubadili baada ya miezi mitatu hivyo nitatumia miswaki minne tu mwaka mzima ilhali mwaka jana nimenunua zaidi ya ishirini na yote ilikua ya ovyovyo tu hivyo basi tuzingatie na ubora wa mswaki wenyewe mingine haifai kudumu nayo ata wiki.tu
 
Nina mswaki wangu wa Colgete una mwaka wa tatu sasa na haujatoka hata brush moja wala hazijakunjika...!

Kusema ukweli huu mswaki ni kiboko asee...

Madaktari waendelee na ushauri wao...mi sina mpango wakubadili mswaki kwa sasa...!
HUO NADHANI NDIO NILIONUNUA MM JANA UKO VIZURI SANA AISEE
 
Punguzeni pia matumiz ya miswaki ya madukani japo tu kisasa zaidi ila mswaki wa miti ni dawa tosha kwa kinywa na meno yako
Ya miti inachosha kusugua jino moja moja,lkn hii ya dukani ukipalaza tu mpalazo mmoja umesugua meno yote ya mbele kwa pamoja
 
Mi sikumbuki,ila umekwisha na kila siku nakumbuka unahitaji kuubadilishwa ninapokuwa naweka dawa ya meno,baada ya hapo huwa nashahau,itabidi nianze kwenda nao kazini hii itanisaidia kukumbuka...
utembee nao kweny wallet
 
Kuna mmoja nilinunua safarini, ule mswaki nimeutumia Mara moja tu ukapinda
 
Mimi nilikua mmojawapo.watu hao ambao kwangu swala la kubadili mswaki lilikua ni mtihani niliutumia mpaka pale nilipoona kua sasa umechoka na pia sikuangalia ubora wa mswaki wenyewe kwa kweli.
KWA MARA YA KWANZA,jana niliiingia supermarkert moja hivi kununua mahitaji mbalimbali ndipo nilipopata wazo la kununua mswaki.
Miswaki niliyoikuta ni ya kampuni mbalimbali mfano.colgate,whitedent na mingine mingi tu,cha.achabu ni utofauti wa bei katika miswaki ile ile yakila kampuni mfano kwenye hio ya colgate ulikuepo wa kuanzia mia mbili na wa bei ya juu ni elfu mbili ya kitanzania .
Niliamua kuchukua wa bei rahisi lakini mhusika alinishauri nilishauri ninunue huo wa elfu mbili kwa uharaka tu nilidhani ni mkakati wa kibiashara ila leo asubuhi ndio nimejifunza yafuatayo.
KWANZA.Mswaki ule ni kampuni ya colgate lakini madein vietnam ni imara sana baada ya matumizi ya siku moja tu nimegundua kua unatakasa vizuri kuliko aina zote nilizokua natumia awali .
PILI.huu ni last longer hivo unakidhi kabisa vile vigezo vya kua ni vyema kuubadili miezi mitatu kama walivyoandika wao .
HITIMISHO.kwa aina hii ya mswaki na uimara ni sahihi kabisa.kubadili baada ya miezi mitatu hivyo nitatumia miswaki minne tu mwaka mzima ilhali mwaka jana nimenunua zaidi ya ishirini na yote ilikua ya ovyovyo tu hivyo basi tuzingatie na ubora wa mswaki wenyewe mingine haifai kudumu nayo ata wiki.tu
aya njooo ulipie tangazo hapa mkuu
 
Back
Top Bottom