Huwa unatumia Mswaki wako kwa muda gani kabla ya kubadilisha/kununua Mswaki mpya?

Wataalamu tofauti wa Afya hasa madaktari wa meno, wamebainisha kwamba mswaki lazima ubadilishwe kila baada ya miezi mitatu.

Hata hivyo, wengi wetu hatuzingatii hii kanuni ya kiafya ipasavyo kwa kuweka mdomo katika hali ya usafi, ila kuna baadhi wanaozingatia hii kanuni.

Kwa mimi binafsi hii kanuni huwa naivuta kabisa ambapo huwa natumia mswaki zaidi ya miezi mitatu

Ebu tuwe wakweli, wewe huwa unabadilisha mswaki kila baada ya muda gani kwa kujali afya ya kinywa chako?
Nimecheka sana duh nikazani umeuona mswaku wangu ndo ukauliza
Kwa sasa wangu naona nibadilishe niliununua cargary city wakati najiandaa kurudi bongo..
maana huu ni mwaka wa 11 unasepa sijabadilisha na haujabadilika kama nimeununua juzi ubora wake naona umipitiliza kwa kweli
c7ad229df21797ee3fc59aa0218a4c02.jpg
 
Me pia wakwangu unatimiza miaka miwili kesho halafu bado mpyaaaaa sasa kuutupa ni uharibifu .
 
ilikuwa hivyo zamani napiga hadi mwaka mzima
ila kwa sasa nabadili kulingana na ushauri wa daktari eidha miezi 2 au mi3 baada kugundua chanzo cha mavizi kuuma mpk nahamisha upande nilozoea kutafunia ni mswaki kutumia kwa muda mrefu kiasi brash kukakamaa inapelekea kuzihalibu nyama za vizi mwisho huvimba nashindwa kutafuna nahamia upnde mwingne kitafuna ambao hujazoea naishia kujing'ata tu
na sio kubadili mswaki kila miezi 3
inapaswa pia kila baada miezi umuone daktari wa meno akusafishe meno yako
vivo hivyo jitahidi kila wiki utumie magadi au ukikosa agharabu sabuni ya unga
ili kukifanya kinywa meno pamoja na fizi kuwa bora zaidi
Sabuni ya unga INA nn?
 
binafsi sina muda rasmi... natumia mpaka pale ninapohisi umechoka au umedondoka bafuni... ila wataalaam wanashauri mswaki unatakiwa utumiwe kwa mwezi mmoja tu
 
Mmmh. . Hata hyo miez mitatu ni mingi jamani.
Mi kila mwezi nabadili kwakweli.
 
Back
Top Bottom