Huwa unafurahia nini uwapo safarini hasa safari za ardhini?

Safari nzuri za bus km umepanda luxury bus, jichanganye upande Saibaba la Sumbawanga-Dar lazima uingie na kunguni nyumbani, likifika uyole km mpo mnadani mmepanda pick up la trip shamba, trip sokoni linakaa hata dk 20 watu wananunua viazi na ndizi

Huo mwendo sasa
abiria anaweza akashuka ajisaidie uku gari linaendelea kutembea na akalikimbilia akalikuta akapanda, afu kuna wale wamasai wanaowapakia chimala eeeee
hao ndo balaa sasa
kapiga lubega huku zaga unazi zoom bila lenzi, anajamba kwa raha zake haoni shida! Jichanganye eti usingizi umekupitia umemuegemea wee!! Atakwambia “mama yeyoo toa iyo bichwa yako km ya mbusi, kwann usiegemese ngomosi kwa baba yeyoo”


Ukiangalia pembeni kuna mwamba kasimama anapumzika siti zinamuumiza zilivyoisha, ndani gari linatikisika km compass lile lenye Penseli na bikari na peni iliovujia wino
 
Na majinjah 😁😁
 
Hio aya ya pili


Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
hutasahau

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Sijawah jua kama ni 27km pale m napitaga tu


Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…