Author
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 1,710
- 8,008
Wadau,
Mpenzi wako akisema yupo njiani anakuja kwako huwa unafanya nini?
Anaweza akawa boyfriend/girlfriend, mchumba au ingizo jipya
Sent using Jamii Forums mobile app