nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Imekuwa too much sasa, mara kwa mara naona wanaume wakilalamika kunyimwa unyumba muda mrefu, pia kumekuwa na ongezeko la ndoa nyingi zenye miaka 5+ kukosa watoto.
Kama ni mwanaume
-Ongeza mke
-Vunja ndoa oa mwengine
Kama ni mwanamke
-Omba talaka uolewe upya
Tuache kujifanya wema kwa unafki, Umevumilia miezi kukosa unyumba, kama huna matatizo ya afya mwili utakuwa na kiu kali sana ya tendo kwasababu ndivyo ulivyoumbwa na hapo ndio mwanzo wa kuchepuka, wanaume kununua dada poa na wanawake kuwa na ving'asti. mwishowe utakuja kufumaniwa na utafanywa kitu mbaya huji kusahahau maisha yako.
Kupata watoto ni majaliwa lakini kuna mpaka wake, Mmehangaika kupata mtoto mwaka wa 5 mkiwa kwenye ndoa na mnajua tatizo lipo kwa nani, asie na tatizo apewe uhuru apate watoto, awe na kizazi chake, wazazi wake waone wajukuu kabla ya kuaga dunia (kama wapo.)