Jokajeusi, Mkuu wewe kweli ni mwanaume?
Wanawake hawa ukijifanya kuwabembeleza mpaka kitandani kubadili staili atataka umnyenyekee wenyewe wanasema romantic.
Mwanamke ukijifanya kumbembrleza sana mwishowe ndo tunalalamika kuwa tunawanawake hawajui mapenzi,gogo kitandani ila hayo ni kutokana na kutaka wabembelezwe.
Huo ni ujinga.
Yani kula umtafutie,pakulala umpe,na mambo ya huduma zingine ufanye,ukirudi umechoka nyumbani alafu hapo kuna kazi ya kumbembeleza mkeo inakusubiri? Mbona huitaji diet wewe wiki tu untoka kuwa JB kwenda kuwa steve nyerere?
Hivi una habari kuwa wazee wetu wa zamani walikuwa wao ndo wanabembelezwa na mabibi zetu?hizi habari za kubembeleza anaziweza mwanamke,mwwnaume anajua kuhudumia.
Kitu pekee ninachokiona ambacho mwanaume hatakiwi kusita ni kuhudumia peke yake.
Yani mkeo akitaka kitu chochote,asikohoe tu wewe unatoa hela anaenda kununua hapo mwanamke atajikubali na atasahau kama kuna kubembelezwaga.
Ila hawa wetu mume hela huna anataka akuchune japo kwa kumbembeleza.
Kazi ya kubembeleza ni ya mwanamke na ndyo maana mimba habebi mwanamume kwa sababu mwanaume hajui kulea yeye anajua kuhudumia tu.
Mwanamke atakuendesha mbio kijana ukijifanya unabembeleza sana shauri yako.
Na ndyo maana wanaume wanachepuka sana unafikiri kule kwenye michepuko huyu mume ndo anabembeleza mchepuko au mchepuko ndo anabembelrza mume na kumpetipeti huku mume akiuhudumia vilivyo mchepuko?
Unafkiri mwanaume anaechepuka anatafuta mchepuko akaubembeleze?
Na huo mcheouko unadhani unatafuta kubrmbrlrzwa au huduma ya malazi?
Tuliza akili uwwze tena kijana,wanawake wanatuendesha mbio kwa sababu za kijinga za uromantic kumbe wao ndo wanatakiwa wawe romantic haswa kwetu,sisi tunatakiwa tusiwe na kauli kwao wakitaka kitu hata kukopa tikope,huko ndo kumtunza mwanamke.
Kubembeleza sana mwishowe anasahau kama anatakiwa ajitume kitandani matokeo yake utamaliza gemu na mtindo mmoja mtu hsts hsjiongezi anasubiri kubembelezwa tu.
Kuwa mwanaume unaewaza vizuri weye.
Sent using
Jamii Forums mobile app