Huwa simbembelezi mwanamke!

Umeoa?
 
...halafu huwaga mnawasaliti kizembe mno-..juzi nilikuwa na mmoja hapo 40/40 analialia with the same issue.
....anavyomjali na kumnyenyekea mke wake utafikiri ni malkia...ila ndio kaliwa kizembe sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala sio kunyenyekea, mapenzi ni kupendana, kujaliana na kuheshimiana...hatakiwi awepo mmoja wa kuonekana anajipendekeza au anafanyiwa favour kuwepo kwenye hayo mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hawa wanaojiita wadangaji, hawatulii na mtu mmoja ukicheza wanakuvuruga, never trust a woman. Kamuulize mfalme suleiman walichomfanya pamoja na kuwa na hekima kubwa kuliko binadamu yoyote duniani
 
Fahamu zaidi aliwahi ku post ig kua tafiti zinaonyesha kua wanawake wengi wanavutiwa na wanaume wasio romantic, na huenda ni kweli maana hata mimi sijuagi kubembeleza wala kuwaabudu wanawake lakini wanaonielewa wapo wengi kana kwamba ningekua mhuni ningewabutua wengi sana
Na watu wa namna hii wana pataga mademu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ina ukweli ndani yake. Girlfriend wangu namchunia, simjali kivile, nilishamwacha mara mbili na kurudiana naye lakini yeye ndio ananipenda zaidi amekufa ameoza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini kila unapoongelea jinsi unavyomdharau na kumdhalilisha mwanamke unatumia Kiingereza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila kitu kina sababu inategemea na matukio yako yaliyopita na uwezo wa akili yako namna ya kikabiliana na matukio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ndio uko hivyo, wanaume tupunguze tabia za kulialia, kuna midume mpaka wakati wa kupiga bao inapiga kelele yenyewe badala bidada ndie apigwe mkuyenge apige mayowe ya Utam, mnadhalilisha UANAUME mjue mxiuuuuu manina zenu. Kuweni makauzu waulizen akina Mabeste na Stamina kila wakat bebiiiii, mailavuuuu shwajn kabisa nyie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…