Watu bana mmekamatwa sana na heading nakumbuka enzi nilipokuwa chuo nikiwa na tangazo langu nikitaka kubandika na watu walisome basi naweka heading kwamba 'USISOME HAPA'
basi kila mtu alikuwa anataka kujua kuna nini ndani yake hatimae ujumbe wangu unafika.
So mleta mada amekuwa mbunifu kidogo kutulazimisha kufungua thread yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.