Huwa ninakosea wapi kwenye oral interview?

Huwa ninakosea wapi kwenye oral interview?

wakuu,nikisema kuwa huwa siitwi kwenye usaili nitakua namkosea mungu wangu bure.
kuanzia mwaka juzi nilipomaliza chuo nimehudhuria saili 15 kati ya hizo 6 zilikua ni oral interview ambazo kwa mtazamo wangu niliona kama nimefanya vizuri tu.kwa mfano kuna NGO moja ya kimarekani ina ofisi zao pale mikocheni waliwahi kutuita watu123 kwenye usail ambapo walikua wanataka watu wawili pekee,tulianza interview kwa kwa kupewa mtihani wa kuandika ambapo tulichujwa mpaka tukabaki watu 16 ambapo tukachujwa tena tukabaki watu 6 ambao tuliingia kwenye oral ya kwanza ambapo tukachujwa tena na tukabaki watu watatu ambao tuliingia final interview,lakini baadae me nikakosa kazi.
so wakuu kwenye oral huwa wannangalia nini ili na mie niboreshe niweze kupata kazi?
wanaangalia saana uweza wa kujiongeza kiutu uzima.... ukisikia oral sio ndo ujue dry.. weka pesa mbele hakuna cha buure utafanya saana usaili dadek... risk a sprat to catch a whale... dunia ni mwendo wa ngisi, kung'aa sio lazima star ashushwe
 
Yaani uko kwenye panel ya watu sita mfano, afu unaanzaje kuuliza kama wanapokea kitu kidogo?
 
Mi nakupa technique hatari ambayo utanikumbuka daima .Jenga ujamaa/undugu na paneli ya washili. Take them as a one family wth u
 
Kwanza shukuru Mungu umepata hizo interview zote na umefikia top three. Wengine mwaka unakatika tumeitwa interview 2 tu. But what I know kwenye Oral your CONFIDENCE matters hata kama unajibu uongo. Kazana kuapply 2017! Best of Luck!!
 
Aiseee oral nomaaa
Nakumbuka niliulizwa unafanya kazi gani kwa sasa nikajibu sina kazi yyte,kwanini huna kazi yoyote unaiba au pesa za vocha unapata wapi nikajibu ninakibiashara kidogo jamaa akasema nenda kaendeleze biashara yako hapa hatutoi mitaji
Daaah ! Wenyewe wanasema ulikosea wapi hapo?
 
Nyingine jamaa anauliza enhee unampango wakuendelea kusoma nikajibu ndio, mana nna diploma, akauliza kwanini hujajiendeleza mpk sasa nikamwambia sijapata ada mzee akasema kwaio unataka tukuajiri hapa uje utuibie upate pesa ya ada,toka hatuna nafasi hapa, nliishiwa nguvu aiseee i hate oral interviews
Wanatabia mbaya sana
 
Au ngeli mgogoro, the the zinakua nyingi, unazungukuaa sana,
Hudhuria kwa Ras Simba kusafisha ung'eng'e
Sio kweli kwa maelezo yake apite aral zote zile hadi mwisho akose angekua hajui angetoswa mapema
 
Mkuu mm tuliitwa interview watu 22 anatakiwa mmoja tu, kulipewa written interview tulibaki wa wili tu, mshikaji akapata!!! Lakni baadae nakaja kupata kazi nyingine tena nzr kuliko ile.
Ushauri wangu unapo enda kwenye interview relax, be confident enough, kitu kikubwa kinacho sababisha kushindwa kwa interview ni kuwa na matakwa makubwa ya hiyo kazi ambayo baadae inasababisha baadae kukosa kujiamini na kuwa na mawazo ya kuwa nikikosa itakuaje!!!
 
Point
 
Katika mpangilio wa interview scoring sheet lazima ujipime mwenyewe na haya ntakayoweka hapa chini kabla ya kwenda kwenye interview

1. GENERAL APPEARANCE AND PERSONALITY
Smart............. hapa inacheza 1-5 inategemea umetokeaje unaweza pata 3 au hata 1 kama ukivaa kama unaenda live band
Confident manner................... 1-5 kama kujiamin ni shedah hapa utapata 2
Communication skills............. 1-5 kama hukupita kwa rasi simba kazi ipo kidogo unaweza pata 2
Maturity ..................................1-5 mfano position ya manger experience ya miaka 4 kijana wa miaka 23 utakuwa umetoa wapi

2. DESIRED QUALIFICATION
Professional qualification mfano kazi ya accountant unaomba kisa tu uliusoma module ya accounts una apply kazi utaitwa kwakuwa kuna ishu ya suitable candidate and qualified candidate hapo utakuwa qualified candidate na si suitable candidate marks hapa ni 1-5

Addition Training mfano Accountant lazima uwe mtaalamu wa Tally na Quicks books kama additional training na vitu vinginevyo marks hapa ni 1-5

Necessary working experience hapa ndo shedah ilipo marks hapa ni 1-5

3. Professional Competence
Technical Knowledge of the job hapa kuna wengine cv page 8 ila hana anachokieleza akaeleweka kuhusu kazi husika na hapa marks huwa ni nyingi kidogo 1-30 inategemea na taasisi wanawekaje marks zao

Able to coach and Develop others............ hapa na 1-15

4. LEADERSHIP AND PROBLEM SOLVING
Goal setting and provide direction of others hapa huwa 1-5
Empower and Motivate others 1-3
How to demonstrate complex issues 1-3
Creativity 1-3

5. INTERPERSONAL EFFECTIVENESS
How to handle interpersonal issues and positive relationship with others 1-3

Huu ndo ukweli ukiwa kwenye oral interview ndo wanapoangalia suitable candidate anaweza kuwafaa

Note: hapo nazungumzia ujapewa ile memo ya njano.....................

Aiseee oral nomaaa
Nakumbuka niliulizwa unafanya kazi gani kwa sasa nikajibu sina kazi yyte,kwanini huna kazi yoyote unaiba au pesa za vocha unapata wapi nikajibu ninakibiashara kidogo jamaa akasema nenda kaendeleze biashara yako hapa hatutoi mitaji
Ulikutana na watu ambao wana roho mbaya!mtu yoyote mstaarabu hawezi kukupa majibu ya namna hiyo hata kama anaona hau- fit kwenye hiyo kazi, pole sana
Nyingine jamaa anauliza enhee unampango wakuendelea kusoma nikajibu ndio, mana nna diploma, akauliza kwanini hujajiendeleza mpk sasa nikamwambia sijapata ada mzee akasema kwaio unataka tukuajiri hapa uje utuibie upate pesa ya ada,toka hatuna nafasi hapa, nliishiwa nguvu aiseee i hate oral interviews
 
wakuu,nikisema kuwa huwa siitwi kwenye usaili nitakua namkosea mungu wangu bure.
kuanzia mwaka juzi nilipomaliza chuo nimehudhuria saili 15 kati ya hizo 6 zilikua ni oral interview ambazo kwa mtazamo wangu niliona kama nimefanya vizuri tu.kwa mfano kuna NGO moja ya kimarekani ina ofisi zao pale mikocheni waliwahi kutuita watu123 kwenye usail ambapo walikua wanataka watu wawili pekee,tulianza interview kwa kwa kupewa mtihani wa kuandika ambapo tulichujwa mpaka tukabaki watu 16 ambapo tukachujwa tena tukabaki watu 6 ambao tuliingia kwenye oral ya kwanza ambapo tukachujwa tena na tukabaki watu watatu ambao tuliingia final interview,lakini baadae me nikakosa kazi.
so wakuu kwenye oral huwa wannangalia nini ili na mie niboreshe niweze kupata kazi?
mzee baba ile ORAL ya TRA walikutwanga maswal gan
 
Back
Top Bottom