First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
- Thread starter
-
- #21
afu huwa anaingia JLW mkapeana matamu ya kule bila kujuana kumbe we ni boss wake..First Born wewe endelea kuwaza tu, huwezi jua kuwa ndio hivyo kwamba a.rahabu ni hg wangu halafu sijui....
Pia mkubwa hiyo 25
Heee...under 20??
Sasa aliyosema Honey Faith si ndo hiyo under 25
Lol we jua sijafikisha hatA ishrin ndo kwanza 18
Aisee kua haraka ufaidi vya wakubwa
UnatakA nikue mara ngapi
AhhhhAaa bora unisaidie mjukuu wangu nmekumiss
Hahahaaa kweli lakini maana kuna watu huwa wanakua at 9,12,18,25 na wengine 30
Hata mie ninekumiss sana bibi.Karibu kwangu wajukuu zako wamekumiss........
afu huwa anaingia JLW mkapeana matamu ya kule bila kujuana kumbe we ni boss wake..
Sijakupotezea bhana bado nipo kwenye mchakato
mmmmhhhhh.....
Aisee kua haraka ufaidi vya wakubwa
mamaafacebook tu... una vituko.