Huwa nasangaa mtu akitumia DELETE keyword kwenye SQL

Huwa nahisi ni hamna haja ya kufuta record permanently kwenye database

Ni bora item uka i mark deleted kuliko kuifuta kabisa
Inategemea na context ya app au mfumo huo.

Mfano au app ambayo inahitaji data zako kuja kutumika kama ushahidi baadae.

Mfano Alibaba huwezi futa chat kati Yako na supplier sababu baadae itahitajika kuonyesha ushahidi ikiwa uta claim kwamba mzigo uliotumiwa ni tofauti au haukidhi makubaliano.

Hiyo ni context katika e-commerce

Kingine mfano Kuna social media kama sikosei Facebook unapotaka kufuta account Yako Kuna muda unatolewa ni kama gap la tafakuri na muda uo ukiisha basi account Yako inakuwa deleted permanently .

Nachopendekeza mimi ni kwamba wewe ukiwa kama mtumiaji wa app au mfumo upewe option kwamba hiki unaweza kifuta Moja kwa moja na hiki ukifuta kitasubiri kwa muda flani, confirmation ya admin au kubaki kabisa kwenye inactive mode ambapo ni admin tu anaweza kuona na kukirudisha.

Haya yote yana tegemea aina ya data zinazohifadhiwa.

Kuna sensitive data ambazo user ka comfirm hazihitaji labda zina expose utu wake huwezi fanya soft delete unatembea na hard delete kwa kuwa vinatia hofu kwa user endapo admin akikosea bahati mbaya akavirudisha kwenye active mode, wewe kama wewe utajisikiaje mfano ule ujinga ulioweka Facebook umerudishwa wakati uliufuta.

Kuna data zinazohitajika mara kwa mara kwa ajili ya ushahidi hapa fanya soft delete kwa normal user wakati admin ataweza recover ikiwa zinahitajika.
 
Ila kweli, kufuta Nako Kuna muda unafuta alafu inahitajika Tena
 
Umefunga uzi.
 
Back
Top Bottom